FLASH HIDER
JF-Expert Member
- Jul 13, 2012
- 397
- 508
- Thread starter
-
- #561
kweli ni mwisho lakini tatizo halija tatuliwa,umemkimbiza M23 na amehama mzima mzima ikimaanisha kwamba hajatoweka kesho kesho kutwa atarudi,kinacho wauma FRANCE NA SADC nia yao haikua M23 nikama vile ulikua na kiu ukapewa kidogo na kunyan'ganywa kabla hauja maliza kiu.
Hongera sana vijana shupavu,lakini mkumbuke jamaa wanawapisha hujui kesho itakuaje congo ni kubwa.
Kwani Wanyarwanda ni watu gani?
Wata watoa wapi? sasa ndio kamchezo kameanza,hao politician acha waende watu wavita waanze kazi ya kuchomoa mmoja baada ya mwingine,afadhali hii move waichukue kwa tahadhari kwani game imebadilika naona umeliona hilo.
Mbona wewe muoga? huwezi kamata silaha,halafu hakuna kichapo chochote kwa M23 wamehama tu,game lime change sasa huwezi kua mtu 2000 unapigana na watu 100000 kama siafu ahahahhaa,sasa ni kuchomoa siafu moja moja mpaka zitakapo isha.Nyinyi maneno mengi propaganda nyingi, lakini kichapo mtakula mpaka mkubali mazungumzo kiukweli sio kiujanja janja.
halafu kuishi dar haimaanishi hawezi kwenda frontline ikibidi. Vita nchi hii hatujaanza kupigana jana, vijana morari upo tena sana bweg.e wee.
FLASH HIDER Umeiona hii habari Kiongozi wa waasi wa M23 ajisalimisha - MPEKUZI ni ya kweli>?Imebadirika wapi, wote wamekimbilia Bunagana. Kesho watavuka mpaka na kukamatwa. Wameacha silaha nyingi sana, watapigania nini? Jana katika TV wameonesha mizinga, vifaru, mabomu na bunduki zilizoachwa na M23. Tukubaliane kimsingi, mwisho wa M23 umekaribia, labda lije jingine.
FLASH HIDER mbona unanigeuka sasa kwani nani amalinganisha rwanda na tanzania? kwakweli kamatanzania kungekua na viongozi kama kagame nahiyo mimali udongoni na fikiri tz ingekua juu kuzidi south afrika,kwa kweli rwanda hai lingani na tz nakubali,ila kuna ka short circuit somewhere.
duuuh!nimeichukua hyoNapenda MUKAMASIMBA aendelee kewepo jukwaani, maana kupitia yeye watu wanafunguka zaidi na sisi watazamaji tunafaidi zaidi.
wahenga walinena "ukitaka kuona tumbo piga mgongo"
imenivutia hiiHususani huyu Kagame, tena huyu tunapiga mpaka tunatokea DRC.
Kama nia yao haikuwa M23, kumbe bado wanasababu mkononi ya kuendelezea nia yao. Maana, kama kweli nia yao sio m23 wata demand serikali ziwakamate hao m23, kama hawakamati basi watafuatwa. Kama marekani alivyomfuata Osama afghan. Kama UN wanasababu nyingine bado wana option nyingi mkononi.
[/QUOTE]Simply, vyanzo vya uchumi vya M-23 ni misaada kutoka Rwanda. Pia hawa jamaa katika eneo walilokuwa wamelikalia, walianzisha Parallel government kwa kuanza kuwalipisha kodi wananchi na magari yote yanayoingia. Gari (Fusso) linaloingia hutakiwa kulipa USD 50 mpaka 100 kutegemea na aina ya mzigo iliyobebwa. Wamekuwa na mawaziri, jeshi la polisi nk. Tatu ni uporaji walioufanya mwaka jana hapa GOMA. Walipora magari na mali nyingine nyingi tu. Mwisho wanafanikisha usafirishaji wa madini kutoka Walikale na maeneo mengine kuingia Rwanda au Uganda.
Kuhusu kulengwa kwa Watazanaia, hilo sijui lakini kuna mdau amejibu kwa kusema wao wana majeshi ya ardhini hivyo wapo front zaidi.
MPAKA [ QUOTE=Potea wa potea;7693878]Vyanzo cha kiuchumi vya m23 ni vipi? Na kwa nini wanajeshi wa tanzania wanalengwa sana katika mashambulizi......
imenivutia hii
Hiyo uisahau kabisaa hawa wezi hilo M23 sio osama pole sana,ni watu wanaopigania haki yao wamefukuzwa kutoka nchini mwao tena matatizo yao yalikua mezani kampala sasa congo imeamua kuyaacha sasa huyo ni alkaeda?tena kingine kama wanataka vita ya moja kwa moja zitapigwa vilevile itolewe bughudha.
Samahani mkuu,unasema ukweli uzalendo sometimes inabidi ukomalie kitu hatakama sivyo ndivyo,lakini sikutaka kuishambulia tanzania tatitizo ni kwamba hawa wabongo kunawakati wanaiongea rwanda utafikiri wao ni wa mbinguni ndio maana sometimes inabidi niwakumbushe warudisha akili kwa uzalendo mwingine unageuza watu vipofu.Sijakugeuka wala sihitaji kufanya hivyo. Hoja zangu mara zote zitasimama katika ukweli bila jazba kama mfanyavyo. Ila umenishangaza ulipoishambulia TZ. Tatizo lako si ni Rwanda na DRC, Tanzania imeingia wapi? Sipendi kujiingiza katika vita hiyo ya kudharauliana wakati mimi ni mwumini wa UMOJA NI NGUVU. Unataka tupite wapi?
Wanyarwanda ni watu wanao ongea kinyarwanda na wasio ongea kinyarwanda ambao wanauraia wa rwanda.
Hivi Mukasama!! hawa M23 wana madai ya maana kweli? hivi kikitokea kikundi cha watu ndani ya Rwanda wakakalia hapa Gisenyi wakaanzisha serikali yao, wataachwa kweli na Kagame? Nakwambia tena DRC imekuwa na subira sana, waingie TZ waone. Nakumbuka kulizuka Wasomali TZ ilichofanyika hadi leo imebaki historia.