MUKAMASIMBA
JF-Expert Member
- Aug 11, 2013
- 1,655
- 362
Ukweli ni kuwa M23 hawapo tena DRC. Walikimbia baada ya kipigo kikali cha jana jioni hadi usiku. Serikali na raisi wa M23 ametoa matamko ya kuelezea hali hiyo. Muda huu hapa GOMA ni shangwe tupu baada ya matangazo hayo.
Bila shaka wataleta coverage nzima. Leo huku ni sherehe, kazi zimafungwa.
Hivyi ninvyoandika ninaangalia TV hapa, miji yote ambayo ilikuwa imekaliwa na M23 imekwishachukuliwa na FARDC. Kanzia Kiwanja, Rumangabo, Katale, Kibati (ulichukuliwa siku nyingi) yote ipo chini ya FARDC. Wamebakiza mji wa BUNAGANA ambapo ni mpakani kabisa na Uganda. Bila shaka kufikia Kesho mtasikia M23 imekwisha. Tuombe yasitokee tena mauaji kwa JWTZ maana naambiwa wanafanya kweli huko front.
Jamani mkinionea MUKAMASIMBA mwambieni kuna swali nilimuuliza mbona hajibu. Swali lenyewe lilikuwa jepesi sana " M23 wapo wapi kwa sasa?"
Flash Hider hujawahi tulisha sumu tokea alivyoanzisha huu uzi,Hongera sana
"The Democratic Republic of Congo's M23 rebel group has declared an end to its 20-month rebellion, saying it is ready to disarm and demobilise troops and pursue a political solution to end the crisis in the east of the country.
The M23 declaration was issued hours after government forces drove the rebel fighters out of their last two strongholds at around 3am local time (00:00 GMT) on Tuesday.
African leaders had urged the group to renounce their rebellion to allow the signing of a peace agreement with DRC President Joseph Kabila's government.
"The chief of general staff and the commanders of all major units are requested to prepare troops for disarmament, demobilisation and reintegration on terms to be agreed with the government of Congo," M23 leader Bertrand Bisimwa said in a statement.
Congolese government spokesman Laurent Mende said many rebel fighters were surrendering after government soldiers seized control of Tshanzu and Runyoni.
Mende said the Kinshasa government was ready to pursue peace talks.
"In a region that has suffered so much, this is obviously a significant positive step in the right direction," Russell Feingold, US special envoy to the Congo and the Great Lakes region, said at a briefing in Pretoria.
Driven to the hilltops
Government troops on Monday drove the M23 from hilltop positions in the east of the country, where rebels were holed up after being forced from their last stronghold of Bunagana last week.
The army said the rebels had been bombing Bunagana and said it showed the ceasefire declaration of the M23 rebel group at the weekend was worthless.
[TABLE="width: 33, align: right"]
[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
"This is not fighting, it is bombs launched by M23 targeting the population of Bunagana," said Colonel Olivier Hamuli, an army spokesman. "They are targeting civilians."
Al Jazeera's Malcolm Webb, reporting from Bunagana, said that he had seen at least three bodies and that body parts scattered the road in the town. Soldiers on the scene said more had been killed".
Chanzo:Al Jazeera
Polini walikodai wamekimbilia ni hapo Tshanzu na Runyoni. Eneo hili linatajwa kuna lina misitu mikubwa na kuna milima na si rahisi kulifikia. Pia mbuga ya wanyama ya Virunga inapita eneo hilo. Pia eneo hilo lipo jirani na mpaka wa Rwanda na Uganda. Ilionekana ni vigumu kwa FARDC kulifikia. Hata hivyo FARDC na UN (JWTZ) walilizunguka eneo hilo na kushambulia kwa helikopta na mizinga. M23 Wakakosa pa kukimbilia na wakajikuta wakilazimika kuingia Uganda na wengine Rwanda. Lakini pia maeneo yote yaliyokuwa yanakaliwa na M23 kwa sasa yanakaliwa na UN. Bila shaka huu sasa ni mwisho wa M23.
Bertrand Bisimwa @bbisimwa 4h
Exiger au M23 de donner une victoire militaire au gouv coe condition pour la signature de l'accord de paix relève du traditionnel populismeBertrand Bisimwa @bbisimwa 4 h require to the M23 to give a military victory to the Govt coe condition for the signing of the peace agreement depends on traditional populism (Translated by Bing)
Kiukweli tunakushukuru sana kwa ushirikiano wako!Mkuu MANOSA na wana JF wenzangu wote, mimi siyo mwanasiasa wala si muandishi wa habari. Sina interest yoyote zaidi ya kupenda DRC iwe salama. Sina sababu ya kulishana sumu au ku-take side bila hoja za msingi. Nipo tayari kuelemishwa zaidi maana najua JF ni kila kitu. Nitaendelea kuwajuza ndugu zangu wa TZ na wengine wote kuhusu kinachoendelea hapa. Ninajua tuna ndugu zetu, watoto na zaidi ni watanzania wenzetu wanapigana kwa ajili ya amani ya DRC. Nshukuru kwa michango yenu.
Kwani wanalo la ku post humo mkuu! Kuanzia alfajiri ya saa tisa leo,wanachoma magari na vifaa vyao vingine kule mlimani,wanakimbia! Muda hata wa kuandika wataupataMbona mtandao wenu wa CONGO DRC NEWS umeufunga?
Jamani mkinionea MUKAMASIMBA mwambieni kuna swali nilimuuliza mbona hajibu. Swali lenyewe lilikuwa jepesi sana " M23 wapo wapi kwa sasa?"
[/QUOTE]Bila shaka PK yupo huko. Habari za kupigwa kwa M23 zikifika huko, bila shaka zitapokelewa kwa mitazamo tofauti miongoni mwa hao wakubwa.
wao wamekwenda jificha Gisenyi kwenye mapango yao,hivi PK naye yupo Sauzi kwenye mkutano?
Bwana Flash Hider nakufuatilia kwa makini sana,hiyo nikawaida ya wakongomani wanasheherekea hata wakipigwa,vita bado haijaisha simuda murefu nitakupatia habari za front.
Shwari kabisa na jamaa mjini ni shangwe tupu. Bodaboda honi mji mzima. Leo kuna mwananziki anaitwa WAZEKWA nasikia atatumbuiza usiku wa leo hapa GOMA kusheherekea ushindi.
Bertrand Bisimwa @bbisimwa 4h
Exiger au M23 de donner une victoire militaire au gouv coe condition pour la signature de l'accord de paix relève du traditionnel populismeBertrand Bisimwa @bbisimwa 4 h require to the M23 to give a military victory to the Govt coe condition for the signing of the peace agreement depends on traditional populism (Translated by Bing)