Uliza lolote kuhusu mgogoro ndani ya DRC hasa mapigano kati ya M23 na FARDC

Uliza lolote kuhusu mgogoro ndani ya DRC hasa mapigano kati ya M23 na FARDC

Ukweli ni kuwa M23 hawapo tena DRC. Walikimbia baada ya kipigo kikali cha jana jioni hadi usiku. Serikali na raisi wa M23 ametoa matamko ya kuelezea hali hiyo. Muda huu hapa GOMA ni shangwe tupu baada ya matangazo hayo.

Bertrand Bisimwa @bbisimwa 4h

Exiger au M23 de donner une victoire militaire au gouv coe condition pour la signature de l'accord de paix relève du traditionnel populismeBertrand Bisimwa @bbisimwa 4 h require to the M23 to give a military victory to the Govt coe condition for the signing of the peace agreement depends on traditional populism (Translated by Bing)
 
Bila shaka wataleta coverage nzima. Leo huku ni sherehe, kazi zimafungwa.

Flash Hider hujawahi tulisha sumu tokea alivyoanzisha huu uzi,Hongera sana

"The Democratic Republic of Congo's M23 rebel group has declared an end to its 20-month rebellion, saying it is ready to disarm and demobilise troops and pursue a political solution to end the crisis in the east of the country.
The M23 declaration was issued hours after government forces drove the rebel fighters out of their last two strongholds at around 3am local time (00:00 GMT) on Tuesday.
African leaders had urged the group to renounce their rebellion to allow the signing of a peace agreement with DRC President Joseph Kabila's government.
"The chief of general staff and the commanders of all major units are requested to prepare troops for disarmament, demobilisation and reintegration on terms to be agreed with the government of Congo," M23 leader Bertrand Bisimwa said in a statement.
Congolese government spokesman Laurent Mende said many rebel fighters were surrendering after government soldiers seized control of Tshanzu and Runyoni.
Mende said the Kinshasa government was ready to pursue peace talks.
"In a region that has suffered so much, this is obviously a significant positive step in the right direction," Russell Feingold, US special envoy to the Congo and the Great Lakes region, said at a briefing in Pretoria.
Driven to the hilltops
Government troops on Monday drove the M23 from hilltop positions in the east of the country, where rebels were holed up after being forced from their last stronghold of Bunagana last week.
The army said the rebels had been bombing Bunagana and said it showed the ceasefire declaration of the M23 rebel group at the weekend was worthless.
[TABLE="width: 33, align: right"]
[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
"This is not fighting, it is bombs launched by M23 targeting the population of Bunagana," said Colonel Olivier Hamuli, an army spokesman. "They are targeting civilians."
Al Jazeera's Malcolm Webb, reporting from Bunagana, said that he had seen at least three bodies and that body parts scattered the road in the town. Soldiers on the scene said more had been killed".

Chanzo:Al Jazeera
 
Hivyi ninvyoandika ninaangalia TV hapa, miji yote ambayo ilikuwa imekaliwa na M23 imekwishachukuliwa na FARDC. Kanzia Kiwanja, Rumangabo, Katale, Kibati (ulichukuliwa siku nyingi) yote ipo chini ya FARDC. Wamebakiza mji wa BUNAGANA ambapo ni mpakani kabisa na Uganda. Bila shaka kufikia Kesho mtasikia M23 imekwisha. Tuombe yasitokee tena mauaji kwa JWTZ maana naambiwa wanafanya kweli huko front.

Mweshimiwa, wa TZ tunafurahia sana kuendelea kutuhabarisha juu ya mafanikio yatokanayo na ufanisi wa Jeshi letu. endelea kutujuza.
 
ANNONCE DE FIN DE RÉBELLION
La Direction du Mouvement du 23 Mars annonce à l'opinion nationale et internationale qu'elle a décidé à dater de ce jour de mettre un terme à sa rébellion et de poursuivre, par des moyens purement politiques, la recherche des solutions aux causes profondes qui ont présidé à sa création.
A cet effet, le Chef d'Etat-major Général ainsi que tous les commandants des grandes unités de l'Armée Révolutionnaire Congolaise sont priés de préparer les hommes des troupes au processus de désarmement, démobilisation et réinsertion sociale dont les modalités sont à convenir avec le Gouvernement de la République Démocrat...
See More
ANNOUNCEMENT of end of REBELLION the Direction of movement of 23 March announced at the national and international opinion that it has decided from this date to end his rebellion and continue the search for solutions to the root causes that led to its creation through purely political means.

For this purpose, the Chief of General staff as well as all commanders of large units of the revolutionary Congolese army are asked to prepare men of the troops to the process of disarmament, demobilization and reintegration including the terms are to be agreed with the Government of the Democratic Republic of Congo.

Done at Kampala, November 05, 2013 the President of the movement of the 23 March Bertrand BISIMWA (Translated by Bing)
 
Jamani mkinionea MUKAMASIMBA mwambieni kuna swali nilimuuliza mbona hajibu. Swali lenyewe lilikuwa jepesi sana " M23 wapo wapi kwa sasa?"

Mabosi wao wamekwenda jificha Gisenyi kwenye mapango yao,hivi PK naye yupo Sauzi kwenye mkutano?
 
Mkuu MANOSA na wana JF wenzangu wote, mimi siyo mwanasiasa wala si muandishi wa habari. Sina interest yoyote zaidi ya kupenda DRC iwe salama. Sina sababu ya kulishana sumu au ku-take side bila hoja za msingi. Nipo tayari kuelemishwa zaidi maana najua JF ni kila kitu. Nitaendelea kuwajuza ndugu zangu wa TZ na wengine wote kuhusu kinachoendelea hapa. Ninajua tuna ndugu zetu, watoto na zaidi ni watanzania wenzetu wanapigana kwa ajili ya amani ya DRC. Nshukuru kwa michango yenu.

Flash Hider hujawahi tulisha sumu tokea alivyoanzisha huu uzi,Hongera sana

"The Democratic Republic of Congo's M23 rebel group has declared an end to its 20-month rebellion, saying it is ready to disarm and demobilise troops and pursue a political solution to end the crisis in the east of the country.
The M23 declaration was issued hours after government forces drove the rebel fighters out of their last two strongholds at around 3am local time (00:00 GMT) on Tuesday.
African leaders had urged the group to renounce their rebellion to allow the signing of a peace agreement with DRC President Joseph Kabila's government.
"The chief of general staff and the commanders of all major units are requested to prepare troops for disarmament, demobilisation and reintegration on terms to be agreed with the government of Congo," M23 leader Bertrand Bisimwa said in a statement.
Congolese government spokesman Laurent Mende said many rebel fighters were surrendering after government soldiers seized control of Tshanzu and Runyoni.
Mende said the Kinshasa government was ready to pursue peace talks.
"In a region that has suffered so much, this is obviously a significant positive step in the right direction," Russell Feingold, US special envoy to the Congo and the Great Lakes region, said at a briefing in Pretoria.
Driven to the hilltops
Government troops on Monday drove the M23 from hilltop positions in the east of the country, where rebels were holed up after being forced from their last stronghold of Bunagana last week.
The army said the rebels had been bombing Bunagana and said it showed the ceasefire declaration of the M23 rebel group at the weekend was worthless.
[TABLE="width: 33, align: right"]
[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
"This is not fighting, it is bombs launched by M23 targeting the population of Bunagana," said Colonel Olivier Hamuli, an army spokesman. "They are targeting civilians."
Al Jazeera's Malcolm Webb, reporting from Bunagana, said that he had seen at least three bodies and that body parts scattered the road in the town. Soldiers on the scene said more had been killed".

Chanzo:Al Jazeera
 
Polini walikodai wamekimbilia ni hapo Tshanzu na Runyoni. Eneo hili linatajwa kuna lina misitu mikubwa na kuna milima na si rahisi kulifikia. Pia mbuga ya wanyama ya Virunga inapita eneo hilo. Pia eneo hilo lipo jirani na mpaka wa Rwanda na Uganda. Ilionekana ni vigumu kwa FARDC kulifikia. Hata hivyo FARDC na UN (JWTZ) walilizunguka eneo hilo na kushambulia kwa helikopta na mizinga. M23 Wakakosa pa kukimbilia na wakajikuta wakilazimika kuingia Uganda na wengine Rwanda. Lakini pia maeneo yote yaliyokuwa yanakaliwa na M23 kwa sasa yanakaliwa na UN. Bila shaka huu sasa ni mwisho wa M23.

Wakuu naona wote mnausongo wakujua kinacho jiri frontline,M23 wameamua kuachana na mapigano ili kampla agreement iweze kua signed na DRC kwani waliomba mpaka M23 isimamishe mapigano nakutangaza kuachana na mapigano,na ndivyo walivyo fanya,sasa wanasubiri(M23) kuona kama DRC itatekereza hivyo vipengele walivuyo kubaliana na ukiangalia vizuri vipengele vingi vinakidhi malalamiko ya M23,kwa vyovyote vile M23 IMESHINDA KATIKA KAMPALA AGREEMENT,sasa kilichobaki ni kutizama kama DRC watatekeleza hiyo agreement,M23 haijashindwa bali wameonyesha ungwana tu,jeshi la M23 bado liko intact,na DRC iki anza mambo yake ya kudanganya watu,mziki utaanza tena.
 
Hivi MUKAMASIMBA unadhani serikali ya DRC ikikataa kuzungumza na M23 (Sijui kama ni jina sahihi kwa sasa coz hawapo tena), mtafanya nini tena maana awali mlikuwa mnakimbilia porini na kuanza kushambulia raia. Nilisema jana kuwa silaha mmeziacha, vifaru mmechoma, magari mmeyakimbizia Uganda na Rwanda (nasikia yanarudishwa), sasa nguvu mtatoa wapi?

Bertrand Bisimwa @bbisimwa 4h

Exiger au M23 de donner une victoire militaire au gouv coe condition pour la signature de l'accord de paix relève du traditionnel populismeBertrand Bisimwa @bbisimwa 4 h require to the M23 to give a military victory to the Govt coe condition for the signing of the peace agreement depends on traditional populism (Translated by Bing)
 
Mkuu MANOSA na wana JF wenzangu wote, mimi siyo mwanasiasa wala si muandishi wa habari. Sina interest yoyote zaidi ya kupenda DRC iwe salama. Sina sababu ya kulishana sumu au ku-take side bila hoja za msingi. Nipo tayari kuelemishwa zaidi maana najua JF ni kila kitu. Nitaendelea kuwajuza ndugu zangu wa TZ na wengine wote kuhusu kinachoendelea hapa. Ninajua tuna ndugu zetu, watoto na zaidi ni watanzania wenzetu wanapigana kwa ajili ya amani ya DRC. Nshukuru kwa michango yenu.
Kiukweli tunakushukuru sana kwa ushirikiano wako!
Umetupa mwanga sana
 
Mbona mtandao wenu wa CONGO DRC NEWS umeufunga?
Kwani wanalo la ku post humo mkuu! Kuanzia alfajiri ya saa tisa leo,wanachoma magari na vifaa vyao vingine kule mlimani,wanakimbia! Muda hata wa kuandika wataupata
wapi!? Hongereni JW na FIB ki ujumla.
 
Bila shaka PK yupo huko. Habari za kupigwa kwa M23 zikifika huko, bila shaka zitapokelewa kwa mitazamo tofauti miongoni mwa hao wakubwa.

wao wamekwenda jificha Gisenyi kwenye mapango yao,hivi PK naye yupo Sauzi kwenye mkutano?[/QUOTE]
 
Lakini hebu tujiulize, hivi kweli yale mambo ya CONGO DRC NEWS yalikuwa yanafanyika hapa DRC? Kuna jamaa alidai kuwa yanafanyikia nchi jirani.

Muda hata wa kuandika wataupata
wapi!?[/QUOTE]
 
Jamani mkinionea MUKAMASIMBA mwambieni kuna swali nilimuuliza mbona hajibu. Swali lenyewe lilikuwa jepesi sana " M23 wapo wapi kwa sasa?"

ahahahhahha M23 wako congo hawajaenda popote,wako ndani ya virunga na DRC hawawezi kuwafikia huko wanasubiri DRC itekeleze utiaji saini na utekelezaji wa agreement.unafikiri kwanini wameweka mbele maongezi ya kampala? nikwa sababu wanajua wazi bila kusikilizana na M23 congo haiwezi kua na amani kwani watu wanahitaji kujikita katika mambo ya maendeleo siyo vita,kingine M23 inataka kuunyesha ulimwengu kwamba wao wanataka amani sio vita,na ninauhakika DRC haita tekeleza agreement ya kampala kwani imejibu matatizo mengi ya M23,na kuto kutekeleza kwa agreement ya kampala DRC itaonekana kua ndio inayotaka vita,na M23 ikirudi vitani halitakua tatizo la M23,kingine hii move imevuruga plan ya mataifa yaliyokua yakitaka kupeleka vita ya M23 RWANDA kwa kisingizio kwamba rwanda imeishambulia UN na ndio maana wakati wa kibumba congo ilishambulia rwanda na rwanda haikujibu kwani France,TZ,SA,FDLR,FRDC walikua tayari kuishambulia RWANDA,sasa jamaa plan yao imeharibika na ime wacost vingi,maisha ya wanajeshi wao na pesa,kwa ufupi mission yao imekufa.
 
Mh!! huyu jamaa na roho ya Paka. Yaani mpAa sasa haamini kuwa hakuna kitu kinachoitwa M23 hapa DRC.

ubiri DRC itekeleze utiaji saini na utekelezaji wa agreement.unafikiri kwanini wameweka mbele maongezi ya kampala? nikwa sababu wanajua wazi bila kusikilizana na M23 congo haiwezi kua na amani kwani watu wanahitaji kujikita katika mambo ya maendeleo siyo vita,kingine M23 inataka kuunyesha ulimwengu kwamba wao wanataka amani sio vita,na ninauhakika DRC haita tekeleza agreement ya kampala kwani imejibu matatizo mengi ya M23,na kuto kutekeleza kwa agreement ya kampala DRC itaonekana kua ndio inayotaka vita,na M23 ikirudi vitani halitakua tatizo la M23,kingine hii move imevuruga plan ya mataifa yaliyokua yakitaka kupeleka vita ya M23 RWANDA kwa kisingizio kwamba rwanda imeishambulia UN na ndio maana wakati wa kibumba congo ilishambulia rwanda na rwanda haikujibu kwani France,TZ,SA,FDLR,FRDC walikua tayari kuishambulia RWANDA,sasa jamaa plan yao imeharibika na ime wacost vingi,maisha ya wanajeshi wao na pesa,kwa ufupi mission yao imekufa.[/QUOTE]
 
Bila shaka PK yupo huko. Habari za kupigwa kwa M23 zikifika huko, bila shaka zitapokelewa kwa mitazamo tofauti miongoni mwa hao wakubwa.

wao wamekwenda jificha Gisenyi kwenye mapango yao,hivi PK naye yupo Sauzi kwenye mkutano?
[/QUOTE]

Sasa naona Flash Hider umeshapoteza muelekeo sasa haya niushabiki hakuna ukweli tena katika comment hii,wewe afadhali uendelee kusheherekea ushindi wa FRDC,TZ,SA,MALAWI,FDLR NA MAIMAI na BABA YAO france dhidi ya M23, bila hivyo utaupoteza umashuhuri wako wawiki kwani pk hayuko SA na M23 wako congo.
 
Bertrand Bisimwa @bbisimwa 4h

Exiger au M23 de donner une victoire militaire au gouv coe condition pour la signature de l'accord de paix relève du traditionnel populismeBertrand Bisimwa @bbisimwa 4 h require to the M23 to give a military victory to the Govt coe condition for the signing of the peace agreement depends on traditional populism (Translated by Bing)

Hahahahahahaha!! sidhani kama unajielewa!!
 
Back
Top Bottom