Uliza lolote kuhusu mgogoro ndani ya DRC hasa mapigano kati ya M23 na FARDC


Msalimie Paul Kagame. Tell him one more operation remains
 
Msalimie Paul Kagame. Tell him one more operation remains

Hiyo operation imeishaharibika haita wezekana tena,ingewezezekana wakati ule wa M23 ikipigania mpakani mwa rwanda lakini sasa haiwezekani,hivi mkilianzisha ni kulielekeza linakotokea halafu msikilize mziki kwani naona mnahamu sana ya kichapo.
 
South African Defence Forces nayo ilikuwepo.........

Rooivalk attack helicopters perform well in first combat action against M23

Posted by Darren Olivier on Nov 5, 2013 in Central Africa,

FeaturedYesterday, at approximately 17h00 Congolese time, two South African Air Force Rooivalk helicopters attached to the UN's Force Intervention Brigade flew the craft's first ever combat mission.
The helicopters fired multiple 70mm rocket salvos against M23 bunkers near Chanzu in what is a mountainous region close to the Rwandan border.Early reports from sources in the area indicate that the action was successful, with the Rooivalks' tactical approach through the clouds taking the M23 defenders by surprise and their rocket fire being accurate enough to disperse them and destroy one of the 14.5 mm anti-aircraft guns that had been previously used to fire at the Rooivalks and other helicopters.

The attack was combined with a renewed FARDC assault and subsequent claims by the DRC government that the remaining M23 senior commanders have now fled across the border into Rwanda. However this could not be independently verified.This is the first time Rooivalk helicopters have engaged in combat since the prototype's first flight 23 years ago.

Source: African Defence Review
 
kweli hata mimi naona m23 wameshinda kwa kukimbia na kukubali ku simamisha vita bila masharti yoyote, na ikiwezekana ku sign mkataba wa amani bila ma sharti yoyote. hilo ni hatua ya kwanza, ya pili ndio ku dis arm vikundi vingine, hii ipo katika maazimio ya sadc sio ya kampala, na pia katika mpango wa serikali ya DRC, ya kuleta umoja ndani ya Kongo ambayo hayo mazungumzo haya kushirikisha m23. kwa sababu walikuwa wanataka wembe uwakate nyero kidogo.
 
Hiyo operation imeishaharibika haita wezekana tena,ingewezezekana wakati ule wa M23 ikipigania mpakani mwa rwanda lakini sasa haiwezekani,hivi mkilianzisha ni kulielekeza linakotokea halafu msikilize mziki kwani naona mnahamu sana ya kichapo.
ni kweli mmetupiga ndio maana PK kashindwa kwenda kwenye mkutano, na M7 anaongele haki za Banyamulenga, kwani wamemtuma kuwa semea? na ku dharau za FDLR.
 
​Hii ni baada ya kichapo ndo wamenyoosha mikono..hata BBC News at Ten leo wamesema jamaa wa M23 wamechapwa hadi wamesalimu amri na viongozo wao wamekimbilia Rwanda na Uganda..chezea JWTZ wewe!!
 
M23 kitu gani hao wenye njaa? Waje Rwanda na Uganda kwa pamoja tutawapiga. JWTZ ni jeshi la nguvu.may God bless our army forces in Tanzania.
 

You are very right. Now its time to destabilize Rwanda and Uganda at the same time.
 

Dreaming is allowed in here.
 
Hiyo operation imeishaharibika haita wezekana tena,ingewezezekana wakati ule wa M23 ikipigania mpakani mwa rwanda lakini sasa haiwezekani,hivi mkilianzisha ni kulielekeza linakotokea halafu msikilize mziki kwani naona mnahamu sana ya kichapo.
Ebu tueleze kichapo walichopata FIB kilikuwaje? Operesheni ipo pale pale Stsy tuned
 

Tuanze vita ya ujasusi, DRC wapate mafunzo ya kutosha hasa usalama wa taifa ili waweze kupata taarifa za kiusalama nchi nzima, tuwasiadie kujenga misingi imara ya utawala kuanzia chini mpaka juu. tuwaondoe waasi wote ili DRC iafnye biahsra ya madini na kupata fedha za kutulipa na jeshi lao. najua hatupani bure lazima kuna malipo.
 
kuna jambo hapa linanitatiza;-YOEL M7 WAKATI AKIONGEA JANA S.A,ALISEMA KABILA LAZIMA AHAKIKISHE ANAONGEA VEMA NA VIKOSI VYA M23<ambavyo ni katili> KWA SABABU NI RAIA WA CONGO NA SI KUVISUKUMIA RWANDA AU UGANDA,sasa swali langu?;kwanini ushauri kama huu hakumpa paul kagame ili naye aongee na fdlr warudi rwanda kwa sababu kongo sio kwao?<tuweke pembeni genocide>
 
&#8203;Hii ni baada ya kichapo ndo wamenyoosha mikono..hata BBC News at Ten leo wamesema jamaa wa M23 wamechapwa hadi wamesalimu amri na viongozo wao wamekimbilia Rwanda na Uganda..chezea JWTZ wewe!!

Hawaja kimbilia rwanda wako congo ndani ya virunga mountains,na kusalimu amri lilikua sharti la SADC ili congo isaini mkataba,elewa kwamba SADC wasinge lainika wakati wote M23 ingeendelea kujiweka juu na ukumbuke hayo majeshi ya SADC wamepoteza askali wengi katika hayo mapigano na wakagundua hii vita inaweza kuchukua muda mrefu na kuwa cost mengi,sasa ili yaishe kwa faida ya pande zote M23 imekubali kuweka silaha chini na kabila atasaini mkataba na kutatua matatizo ya wanakivu ambapo FDLR,ADF watakamatwa na kurudishwa makwao,je huoni huo ushindi?
 

hayo ya FLDR na ADF kurudishwa kwao ni matakwa ya watusi wa rwanda na waliolowea uganda na si ya wacongoman. FLDR, ADF watarudi kwao kuchukua nchi kutoka katika serikali dhalimu za pk na m 7
 
Mkuu wewe ni mchabuzi wa ukweli. Na pia ni kwanini PK nae alivyoambiwa kuwa aongee na FDLR alikuwa mkali?

 
Leo nimesoma tamko rasmi la Serikali ya DRC nimecheka sana, wanadai sasa siyo :smiling:agrement bali ni :confused2:declaration kwasababu huwezi kufanya agreement na kitu kisichokuwepo........


 
ni kweli mmetupiga ndio maana PK kashindwa kwenda kwenye mkutano, na M7 anaongele haki za Banyamulenga, kwani wamemtuma kuwa semea? na ku dharau za FDLR.

Hana haja yakwenda SA kwani huyo ZUMA,KIKWETE ndio mafisa mipango ya ku distabilize Rwanda,mzee pk hawezi kaa meza moja na hao watu kama hao,cha muhimu mushikiwabo alimuakilisha na mpango mzima wa hao jamaa ku distabilize rwanda umeharibika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…