Uliza lolote kuhusu mgogoro ndani ya DRC hasa mapigano kati ya M23 na FARDC

you mean Congo imekubali kutoa amnesty kwa kina bisimwa au nimekuelewa vibaya?

Ijumaa Congo inabidi isaini mkataba na M23 kuna vitu walirequest hao waasi kwenye Govt ya DRC sasa hamuoni Kua m23 ni washindi wa Hii vita.Baamedi kakubali kwenda getto kwa price ya Kiloba 1. Mwisho wa siku TZ walienda kuuza sura.hawa waasi wa kongo why wakivuka mpka kwenda uganda au rwanda je huko wanaenda kufanya nini au wanakaa zone ambayo ni free haina nchi ..??? Tz wame fulia
 
[/QUOTE]

lengo lao kuishambulia Rwanda lilikuwa nini hasa, Rwanda kuna nini mpaka ishambuliwe coltan, gold, what exactly is the motive?
 

lengo lao kuishambulia Rwanda lilikuwa nini hasa, Rwanda kuna nini mpaka ishambuliwe coltan, gold, what exactly is the motive?[/QUOTE]

Na kwanini wamshambulie mwana EAC mwenzao
Hapa nimepata Jibu kwanini watz wanakoroma kua wanatengwa kumbe wao ndio wakorofi .....!!!!!!
 

acha uwongo, mazungumzo yalisimama kwa kuwa M23 hawakutaka baadhi ya vipengele katika agreement including kushitakiwa kwa uhalifu wa kivita kwa viongozi n.k, sasa hivi wamekubali vyote in DRC favour. Itakuwaje eti congo iwapige halafu congo hiyo hiyo ikubali mkataba wanavyotaka M23?
 
[h=1]Will the end of M23 rebels bring peace to DR Congo?[/h]


[h=2]With the DRC's M23 rebel group announcing the end of its rebellion, questions loom about whether an agreement can be reached with the Congolese government, and what the terms and effects of such an agreement would be.[/h]
By Jon FROSCH / Sarah LEDUC (text)



With the Democratic Republic of Congo's M23 rebel group declaring an end to its 20-month rebellion on Tuesday, all eyes are on a potential political solution to end the crisis in the east of the African country.
The M23 declaration that the group would disarm and demobilise troops came hours aftergovernment forces drove the fighters out of their final two strongholds, Tshanzu and Runyoni, early Tuesday morning.
Though the announcement was hailed as "a significant positive step in the right direction" by the US special envoy to the Congo, Russell Feingold, questions remain about the terms and ramifications of a potential agreement between rebels and Congolese President Joseph Kabila's government.
For further insight, FRANCE 24 spoke with Filip Reyntjens, a specialist in sub-Saharan African politics and law at the University of Antwerp in Belgium.
Here are some highlights.
F24: Is the declaration by the M23 rebels that their rebellion is over to be trusted, or is it just for show?
FR: My impression is that it's for real. They have been beaten decisively on the ground, and things have changed over the last year, and especially the last several weeks. These rebels have admitted defeat. So I think it's the end of M23, or at the very least in its military form.
F24: What will be the terms of the agreement between the M23 rebels and the Congolese government?
FR: Well, for the moment, there is no agreement. The M23 rebels and the Congolese authorities were negotiating in Kampala [the capital of Uganda] up until ten days ago. The meetings didn't collapse, but they didn't lead to an agreement, either. If the negotiations start again, the terms of the debate will become quite different. The Congolese government will now be negotiating from a much stronger position after the military defeat of the M23.
F24: What guarantee is there that the terms of any agreement would be respected, especially given that the Congolese government did not keep its word after the peace agreements of 2009 with prior rebel group CNDP (National Congress for the Defence of the People)?
FR: Firstly, we don't know what these terms would be exactly. At the meetings in Pretoria yesterday and today [at the summit of the Southern African Development Community and the International Conference on the Great Lakes Region], African leaders were meant to sit down around a table and flesh out an agreement, but we don't know precisely what its content will be.
What could happen is that the rank and file of M23 will be integrated into the Congolese army or demobilised. About 100 of them will likely be prosecuted for war crimes by the Congolese criminal court; the Congolese government has already published a list of those people it considers guilty of war crimes and crimes against humanity. Finally, perhaps some of them will be prosecuted by the International Criminal Court at The Hague. That would be only the very top rebels -- maximum half a dozen -- like Bosco Ntaganda, the former head of the M23, who is currently in custody at The Hague.
F24: The chief of the rebels is asking the Congolese government to ensure the reinsertion of former rebels into Congolese society. How would that work in a country as big and decentralised as DRC?
FR: Reinsertion of rebels has been tried in the past, and it has failed. Former rebel groups have been integrated and it has only led to new rebellions. The CNDP was integrated, and that led to the M23, which was basically part of the CNDP under another name. They can try it again, but we all know what it means it will probably lead to new rebellions.
F24: So another rebel group will inevitably replace the M23?
FR: I'm not sure. If the DRC government can re-establish territorial control in the east, that would make a big difference. With the threat of the M23 now gone, Congolese authorities should maybe address other armed groups in the area, especially the FDLR [Democratic Forces for the Liberation of Rwanda], a Hutu movement operating on Congolese territory. That would be my first target if I were the Congolese army and the UN. [Editor's note: Congolese authorities announced their intention to do so on Tuesday afternoon.]
F24: What about the rebels' allies, Rwanda and Uganda? Where do they stand?
FR: We're particularly talking about Rwanda here. Uganda has always been only a marginal supporter of the M23. But Rwanda has been a crucial support. Even though they denied it, everyone knew it to be true, especially the US and the UK, key allies. Now that [US Secretary of State] John Kerry and [British Foreign Minister] William Hague told Rwanda to stop supporting M23 "or else", Rwanda has ceased its support.
It's a problem for Rwanda, because it will now be seen by other potential rebel movements as a bad ally. Rwanda has supported several rebel movements in the DRC since 1993. If there is a new one coming up, the rebels will have second thoughts about how good an ally Rwanda will be. Moreover, Rwanda might be cut off from exploiting natural resources in the DRC as a result of ditching the rebels.

 
Hujui unachokiongea. Ukichunguza matusi na m 23 walivyo ongea toka mwanzo hai leti
sense! Ule mkataba[wa Ethiopia uli favour Congo 97%Sasa hicho ndio m23 wamekubali.Which is which ! !OTE=Godemae;7750111]Ijumaa Congo inabidi isaini mkataba na M23 kuna vitu walirequest hao waasi kwenye Govt ya DRC sasa hamuoni Kua m23 ni washindi wa Hii vita.Baamedi kakubali kwenda getto kwa price ya Kiloba 1. Mwisho wa siku TZ walienda kuuza sura.hawa waasi wa kongo why wakivuka mpka kwenda uganda au rwanda je huko wanaenda kufanya nini au wanakaa zone ambayo ni free haina nchi ..??? Tz wame fulia[/QUOTE]
 
sasa kilichobaki ni kuhakikisha FDLR nao wanarudi Rwanda iwe kagame anataka au hataki!
 

Hii internet imesaidia watu wengi sana. Sasa hivi na wewe utajiita mtaalamu wa maswala ya siasa!!!!! Ndio maana naona kwenu wanafunzi wanafeli kama vile hawana akili nzuri. Nchi kubwa kama hiyo asilimia 70 ya wanafunzi wanafeli halafu mnajiita wataalamu. Hivi wewe unajua FDLR wako wangapi? Not more than 2,000. halafu unawaita wenye nchi. Wenye nchi ndio hao hapo chini. wote ni wanyarwanda bila kutazama makabila yao.

 

[h=1]Viongozi wa SADC wakutana kuidhinisha mapendekezo 11 katika mazungumzo ya serikali ya DRCongo na waasi wa M23[/h]
Viongozi wa Jumuiya ya Maendeleo kusini mwa SADCMONUSCO




[h=2]Na Ali Bilali
Viongozi wa nchi wanchama za Jumuiya ya kichumi ya nchi za Kusini mwa Afrika SADC waliokuwa wanakutana mjini Pretoria nchini Afrika Kusini, wamekubaliana kuidhinisha masuala 11 yaliyojadiliwa mjini Kampala kati ya waasi wa M23 na serikali ya DRC, wakati huu ambapo kumeripotiwa mapigano makali kwenye ngome ya mwisho ya M23 iliyopo mpakani kabisa na nchi za Uganda na Rwanda.
[/h]

Viongozi wa nchi 15 wanachama wa jumuiya ya maendeleo ya Kusini mwa Afrika SADC wamekubaliana kwa kauli moja kuwa Serikali ya DRC na waasi wa M23 watie saini maazimio 11 waliyoyajadili mjini Kampala Uganda na kwamba kundi la waasi wa M23 litangaze hadharani kuachana na uasi Mashariki mwa DRC.
Hayo yanajiri wakati serikali ya nchi hiyo ikitangaza ushindi wake dhidi ya waasi wa kiundi la M23 ambao kwa sehemu kubwa wamekimbilia nchini jirani ya Rwanda.
Kundi la mwisho la wapiganaji wa M23 walikuwa bado wanapambana na majeshi ya serikali ya FARDC katika milima ya Chanzu na Runyoni na baadae kushindwa nguvu baada ya kusakamwa na mashambulizi ya majeshi ya serikali.
Msemaji wa serikali ya DRCongo, lambert Mende, amesema huu ni ushindi wa jumla dhidi ya maadui wa DRCongo ambao baadhi wamekimbilia nchini Rwanda.
Msemaji wa majeshi ya FARDC katika mkoa wa Kivu ya Kaskazini Kanali Olivier Hamuli amesema, Runyoni na Chanzu imeanguka katika mikono ya majeshi ya serikali ya FARDC, baada ya makabiliano makali na mabaki ya waasi wa M23.
Duru nyingine ya kijeshi ambayo haikutaka jina litajwe imesema, waasi wa kundi la M23 wameteketeza magari 42 pamoja na ghala la silaha, na kutawanyika kila mmoja kadri awezavyo baada ya mapambano ya usiku kucha.
Waasi hao walipoteza muelekeo tangu kutekwa kwa ngome yao kuu ya Bunagana Juma lililopita mpakani mwa Rwanda na Uganda, jambo liliowalazimisha waasi hao kuondoka katika milima ya Chanzu na Runyoni iliyo karibu na nchi za Rwanda na Uganda.
Milima ya Runyoni na Chanzu inapatikana umbali wa kilomita 80 Kaskazini mwa mji wa Goma na ndiko uasi ulianzia mnamo April mwaka 201

 
Naomba bwana MUKAMASIMBA unijibu hivi General Kayonga yupo wapi? na alifanya nini mpaka akadhalilishwa vile? Haiwezekani Mkuu wa Majeshi akaachishwa kazi kupitia vyombo vya habari. Hivi aliwaudhi nini?
MUKAMASIMBA hawezi kuwa na majibu kuhusu hili.

[h=1]Gen Kayonga, Karugarama and Musoni Protais were all sacked not reshuffled.[/h]
July 6, 2013

Reliable information indicates that prior to Mr Karugarama’s sacking he had just been beaten badly that needed medical attention. According to our reporters inside the state house Mr Karugarama was picked up from his house after he spoke to the guardian and indicated that Mr Kagame was not going to violate the Rwanda constitution in regards to term limits. Mr Karugarama was beaten by President Kagame himself like he always do, it has always been normal for Kagame to beat up his ministers or army officials but this time it was un usual because Mr Karugarama was beaten and even  sacked.

Also relieved off their positions is Musoni Protais and Lt Gen Charles Kayonga who was told off in front of subordinates meeting, he was later sacked and Gen Nyamvumba was appointed to take over from him. As reported from our sources in the army, Gen Kayonga arrived late on an occasion that he was supposed to have arrived early to welcome his boss the minister of defence Gen Kabarebe, this was followed also by President Kagame’s arrival on the occasion before Charles Kayonga arrived. He was not given a chance to explain why he never made time to the occasion, instead after the occasion Gen Kayonga was relieved off his duties. In the late 1990’s Gen Kayonga left for USA military training and while he was there he announced that he was not coming back to Rwanda, a delegation of Rwandan officials met him in USA to guarantee him security and a comfortable job on his return, he was back in days and appointed the advisor for defence to the president and later appointed the army chief which was followed by becoming the full head of the army the chief staff commander. Having been the head of the 600 soldiers sent to CND during peace talks in 1994 he was among the well known commanders who worked hard around the clock to stop genocide; also played a large role in planning and hosting the two soldiers who shot down Gen Habyarimana’s plane on the 6th/04/1994.
Most of the genocide survivors admitted that they feel comfortable with this General. So what is the way forward for him? Gen Charles Kayonga is reportedly related to Col Patrick karegeya a fomer external military intelligence chief.
Gen Kayonga until now remains with no job, the president had told Musoni James his right hand man that he was planning to appoint Gen Kayonga as a minister of security however changed his mind after realising that Gen Kayonga was planning to head into exile.

Also the former minister of justice Karugarama caused a lot of inconvenience to himself after he gave an interview with the UK’s Guardian newspaper, Mr Karugarama said that he firmly believed that President Kagame would not be interested in amending the Constitution, adding that there is a need to maintain the rule of law.
In an interview with the same newspaper, President Kagame reacted to a reference to this statement by asking the journalist why Mr Karugarama was bothered by whether he should go or not, when Mr Karugarama himself “had stayed in government for so long. Why don’t you tell him to step down himself? All those years he’s been there, he’s not the only one who can be the justice minister,” said President Kagame. Before brushing aside the third term debate.
“In the end, we should come to a view that serves us all. But in the first place, I wonder why it becomes the subject of heated debate?” He added.
While there is nothing unusual in a routine Cabinet reshuffles, observers have interpreted these events as a sign of friction within the ruling party.
When called by inyenyerinews Mr Karugarama said he could not speak, asking us to wait until he hands over the instruments of office to his successor, Justice Johnston Busingye, who prior to the appointment was at the East African Court of Justice (EACJ).another replaced was Protais Musoni who was replaced by Stella Ford Mugabo in the Cabinet Affairs Ministry.
RPF vice president Christophe Bazivamo told inyenyerinews that the reshuffle should not be seen as party politics, but rather a “routine change in the government.”
Mr Karugarama on the other hand is a seasoned judge who has been credited for turning around the Rwandan justice system and the judiciary.
Mr Karugarama has been behind the sweeping reforms within the sector, overseeing important justice programmes such as Gacaca, which dealt with genocide cases. Other sources indicate that Mr Karugarama argued about the false files formed in order to arrest the opposition politicians who had committed no crimes.
Other observers argue that the two senior officials were no longer fit to serve in highly demanding positions in President Kagame’s mainly youthful Cabinet. The two were the oldest Cabinet members, being in their 60s and so how about President Kagame himself?
Mr Musoni, credited for dreaming up and implementing Rwanda’s efficient decentralisation system, is thought to have asked President Kagame to allow him to retire after battling high blood pressure.



Sharing


[h=3]3 COMMENTS[/h]
  • gakwavu 12 hours ago said:mujye mushyira amakuru yose mu kinyarwanda kugira ngo abanyarwanda bose bayasome
    yego ni byiza no kuyashyira mu ndimi z amahanga,ariko cyane cyane mu kinyarwanda.


  • Paul 10 hours ago said:As we all know that this week witnessed alot of nonsense articles in
    Newtimes written by some people whom the society regard and shameless financial
    Indispline and hypocrite who cares for him self than the population of 11 millions of Rwandese.
    I mean Nshuti, we all know his motives but this is a small advice to whoever think he can open term limits is just joking and dreaming becouse the moment they do so it will be a stupid repeated mistake that was done by the last king of Rwanda where he failed to protect his people and we ended up glassing for 35 years which is a permanent set back in our daily life.


  • Kaka Jim 5 hours ago said:Paul, I hope you are not an educated person. What kind of mistakes are you talking about? Are you supporting the dictatorship and undemocratic governance in Rwanda for the sake of interests of some individuals? The Rwandan Kingdom failure was due to referendum to change the governance from Kingdom to the Republic by the vote and not by war as RPF did. Mugenzi reka nkubwire ejo utazavuga ngo ntawbimbwiye “RPF and Kagame will not rule Rwanda forever and they are not the only individuals eligible to rule Rwanda”. Unless stupid and undemocratic people like you, we all Rwandans support democracy in Rwanda and not a dictatorship government such as Kagame’s. The president who believes that there is lines that you may not cross in politics to become the president of Rwanda. Of course ndakumva ibyo wita “mistakes”…We will see if Kagame will remain forever as you wish…
 
Last edited by a moderator:

Kuota kunaruhusiwa na siyo jambo geni kwenye jamii,
 

Nashukuru sana kwa kuwasaidia waTz na elimu zao za kuunga unga coz hawaijui vizuri Rwanda na wao hapa TZ kazi yao ni kuskiza stori za vijiweni au za madrivers wanaokwenda huko kupeleka mizigo wanakuja na stori nyingi zisizo na uhakika Tanzania ni maskini wa akili hawajitambua wao miaka yote ni kulalamika bila kufanya changes yani n kama wamezaliwa baba 1 mama 1 tabia ni moja RWANDA NI NCHI YA WANYARWANDA HAKUNA WAHUTU WAPA WATUTSI WOTE NI WANYARWANDA NA WATANZANIA MSIWARUDISHE WENZENU KULE WALIKOTOKA NI KUCHUNGU WACHENI WASONGE MBELE.
 

Wewe sio mtanzania...Tanzania haina sambuli ya watu wa aina yako........wewe huelewi unachokisema...kwa taarifa yako soon hizo nchi zenu zitaipigia goti Tanzania.................wait and see......
 
Wewe sio mtanzania...Tanzania haina sambuli ya watu wa aina yako........wewe huelewi unachokisema...kwa taarifa yako soon hizo nchi zenu zitaipigia goti Tanzania.................wait and see......

Na ndio mlipenda hata kwenye mikutano ya EAC mmbembelezwe kujiona maGodfather wa EAC kumbe hamna jipya kila siku mipango ya makaratasi tu na kulalamika na kwenye ofisi nyingi za kitanzania mtu kapewa dhamana ya kuhudumia wanachi ukifika pale anataka umnyenyekee kama ni Mungu ndio maana mtakua maskini milele coz tabia ni DNA HAIWEZI BADILIKA. (')
Utanzania Bongo ...???
Je Tz ni SADC AU EAC...?????
 

Mkuu unajua mara nyingi watu huwa wanadhani sisi tunawachukia watanzania. Hatuwezi kuwachukia kwa sababu mfano kama mimi nimezaliwa tanzania, nimekulia tanzania, nikasomea tanzania. nina watanzania wengi sana marafiki zangu ambao mpaka sasa nikija tanzania huwa nawatembelea na tunapata bia moja au mbili (serengeti ndio bia yangu). Kwa hiyo sisi hatuna ugomvi na watanzania kabisaa. Mpaka sasa hivi nikisikia hotuba za mwalimu, machozi huwa yananitoka. Yule mzee MMAMPP anapaswa kuwa Mtakatifu alikuwa Pan africanist. Kwa bahati nzuri, sisi wote wanyarwanda, tumeishi nchi nyingi tofauti tofauti. Tumejifunza mengi na kilichotusaidia ni kwamba kwa kutazama wenzetu tumejifunza what to do and what not to do. Kwa mfano suala la rushwa tumeona jinsi linavyoitafuna tanzania sisi tukasema sisi rushwa mwiko. yaani hapa ukipatikana na hatia ya kutoa au kupokea rushwa, ni miaka mitano jela minimum. Ndio maana huduma zote za jamii zinapatikana kwa wananchi wote bila upendeleo. Kuna mambo mengi tu nitayaorodhesha kadri muda unavyoruhusu.
 
Hivi sababu ya General Kayonga kuwa Sucked inaweza kuwa hiyo tu kweli?

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…