Uliza lolote kuhusu mgogoro ndani ya DRC hasa mapigano kati ya M23 na FARDC

Uliza lolote kuhusu mgogoro ndani ya DRC hasa mapigano kati ya M23 na FARDC

mukamasimba,
Nakubaliana na wewe kwa kiasi fulani kuhusu hawa jamaa wanavyopata silaha. Mwezi wa saba ilitolewa taarifa ya Wataalamu wa UN iliyoeleza wazi kuwa M23 wanapata msaada wa vifaa na silaha kutoka Rwanda. Nitawawekea hapa. Usikatae suala la Rwanda kutoa msaada kwa M23 hilo lipo wazi.

Sikubali hizo report ni agenda ya france wanataka direct contact na rwanda,hawa M23 silaha nyingi walipewa na kabila kama unakumbuka wakati wa uchaguzi kabila alihufadhi silaha nyingi kivu kwa hao jamaa ili pindi akishindwa uchaguzi wamsaidie kupambana kurudi madarakani,lakini kuna vingi aliwaahidi kama kurudisha wazazi wao walio ukimbizini,kuondoa FRLR katika eneo la kivu na vingine vingi,baada ya ushindi akapanga kumkamata ntaganda ili deal liharibike ndio kuamua kuingia msituni na hizo silaha walikua wamezichimbia na zingine walizo kamata kwenye mapambano,rwanda haina haja yakutoa silaha wanazo zakutosha.
 
Kaka mimi nipo huku kwa miaka 12 sasa (Novemba 2001) Nimekuwepo tokea mgogoro ukiwa mdogo sana na nimejenga sana Interest ya kuujua mgogoro huu na bahati mbaya hayo yote hutokea katika maeneo ambayo mimi nayafahamu vilivyo Goma, Bunagana, Runyoni, Tshanzu, Kibati, Kiwanja, Rutchuru nk. Naamini wazi kuwa Jeshi la DRC lina udhaifu wake tena mkubwa tu. Lakini ukweli Rwanda inaisaidia M23. Nitakuwekea taarifa ya Gruop of Exprt inayotoa ushahidi wote mpaka sare na silaha. Wamewahoji watu kadhaa na walikuja hadi hapa kwetu wakahoji baadhi ya jamaa.

Hebu soma hii kisha tafakari. Ipo mtandaoni buree;

ii) Support provided by Rwandan special forces to M23​
11. Rwandan special forces deployed with the Congolese armed forces in Rutshuruhave backed M23 operations. Following an agreement between the DemocraticRepublic of the Congo and Rwanda, two special forces units from the armed forcesof both countries, including Rwandan troops commanded by Lt Col. James Casius,have conducted joint operations along the Rwandan border since 2011 (seeS/2011/738, para. 116, and annex 8 to the present report).12. Former and current M23 officers, in addition to senior commanders of theCongolese armed forces, told the Group that special forces platoons clandestinelysupported M23 attacks. Five local villagers stated that Rwandan special forces heldregular meetings with M23.​
1 During a mission to the area, a member of the Groupwitnessed how an M23 commander communicated by radio with Rwandan troopsfor reinforcements.13. Its reluctance to remove its special forces from rebel territory notwithstanding,the Government of Rwanda withdrew 344 soldiers on 1 September 2012. Formerofficers of the Rwandan armed forces, M23 members, armed group members andofficials of the Government of the Democratic Republic of the Congo informed theGroup that some of those special forces returned immediately to the DemocraticRepublic of the Congo and further operated with M23.
(iii) Treatment of casualties at the Kanombe military hospital​
14. The Rwandan armed forces have evacuated casualties to Rwanda. Two formerofficers, a senior member of RPF and an ex-CNDP officer informed the Group thatthe rebels transported most injured Rwandan soldiers fighting alongside M23 to theKanombe military hospital in Kigali. The Rwandan armed forces bury the deceasedin the Kanombe military cemetery. An M23 collaborator interviewed by the Groupvisited the hospital after M23 operations had been conducted in the Democratic​
Republic of the Congo and confirmed the presence of dozens of wounded soldiers.

0
Kweli HIDER na wewe unakubaliana na hilo? Unajua wakati wote DRC ikipewa kichapo inataka kuonyesha eti nirwanda wakati ni M23 ,kweli kwa jinsi UN inavyo utafuta ushahidi wa rwanda katika mapigano kama nikweli wanaweza kutuma najeshi na vitu vinavyo weza kuwatambulisha?ndio maana wakati wote kongo inazua vitambulisho vya fake na kuambulia kuaibika.
 
Sikubali hizo report ni agenda ya france wanataka direct contact na rwanda,hawa M23 silaha nyingi walipewa na kabila kama unakumbuka wakati wa uchaguzi kabila alihufadhi silaha nyingi kivu kwa hao jamaa ili pindi akishindwa uchaguzi wamsaidie kupambana kurudi madarakani,lakini kuna vingi aliwaahidi kama kurudisha wazazi wao walio ukimbizini,kuondoa FRLR katika eneo la kivu na vingine vingi,baada ya ushindi akapanga kumkamata ntaganda ili deal liharibike ndio kuamua kuingia msituni na hizo silaha walikua wamezichimbia na zingine walizo kamata kwenye mapambano,rwanda haina haja yakutoa silaha wanazo zakutosha.

haiingii akilini hata kigogo kwa binadamu mwenye kufikiri, eti silaha kuchimbiwa chini
 
Kaka usimwite mnafiki, huenda jahaelewa ipasavyo. Ninamatumanini huko mbele ya safari kama yupo objective, ataelewa na kukubaliana na baadhi ya yale anayoelezwa.

nina uhakika hilo swali ni gumu sana kwa mtu mnafiki kama Mukamasimba asiyependa kuusikia ukweli hata siku moja katika maisha yake
 
Bwana HIDER kuhusu report of expert sijui kama uliona majibu kwa hiyo report yaliyotolewa na serikali ya rwanda kila shitaka lilipewa jibu lake ndio wakati ule nchi za nje zilisimamisha misaada,lakini baada ya kugundua kua hapakua ukweli ndani yake hivi waliachia misaada kwa rwanda,nafikiri hayo majibu pia yako kwa google sikumbuki link.
 
Hata mimi namkubali kwa baadhi ya masuala. Lakini hili la kuisaidia M23, sikubaliane nae kabisa. Pia ajenda yake ndani ya DRC inatufadhaisha wengi.

mimi pia sikubaliana na uasi anaofadhili.ni wakati wa drc kujifanyia mabadiliko ikisaidiwa na nchi wanachama wa sadc nadhani kagame aliona udhaifu Edrc ndio maana akapanga karata zake vema na kufanya atakayo.
 
Mukamasimba,

UN inajumuisha Wanyarwanda pia. Ndiyo chombo ambacho kipo fair katika masuala mbalimbali. Ukiisoma kwa makini taarifa ya Group of Expert (Ninaanza kuirudia leo)suala hilo lipo wazi kabisa.

haiingii akilini hata kigogo kwa binadamu mwenye kufikiri, eti silaha kuchimbiwa chini
 
Kaka usimwite mnafiki, huenda jahaelewa ipasavyo. Ninamatumanini huko mbele ya safari kama yupo objective, ataelewa na kukubaliana na baadhi ya yale anayoelezwa.

tumwombee mungu kama sikio la kufa litasikia dawa
 
nina uhakika hilo swali ni gumu sana kwa mtu mnafiki kama Mukamasimba asiyependa kuusikia ukweli hata siku moja katika maisha yake

Sasa kama mukamasimba ni mnafiki tena hutaki kusikia ninacho kuambia basi tupatie jibu wewe,ninacho kuambia nikwambia nikwamba kinacho tendeka congo ni genocide dhidi ya watusi na rwanda inapinga hayo mauaji na yanafanywa na FDLR kwani ni muendelezo kwa yaliotokea rwanda,kwa mantiki hiyo mtu yeyeyote anaweza ku conclude kwamba rwanda ina support M23 lakini sio to the extent ya kutoa silaha na kupigana vita.
 
Wewe ndio mwanamke anaye washwa kwanza hili swali sikulielekeza kwako,kingine nimesema TZ,SA,UN na FRDC wanashirikiana kuipiga m23 sio rwanda,pole sana wewe tatizo lako hii vita unafikiri inaelekezwa rwanda au unafikiri m23 ni rwanda.

kuwa mstaarabu, kama nimatusi tukianza humu labda mods wakuokoe, halafu huwezi kutenganisha genge la kihuni la m 23 na rwanda hata kidogo wanapata support ya moja kwa moja kutoka kwa dikteta kagame kwa vile wote ni watusi. Kagame alipeleka batallion mbili za jeshi mpakani na DRC ili kuwanusuru M 23 na kipigo hata hivyo hawakufua dafu
 
Kaka isome objectively, kuna ushahidi tosha hadi wa picha.

Bwana HIDER kuhusu report of expert sijui kama uliona majibu kwa hiyo report yaliyotolewa na serikali ya rwanda kila shitaka lilipewa jibu lake ndio wakati ule nchi za nje zilisimamisha misaada,lakini baada ya kugundua kua hapakua ukweli ndani yake hivi waliachia misaada kwa rwanda,nafikiri hayo majibu pia yako kwa google sikumbuki link.
 
Someni sehemu ya taarifa:

Infiltration of demobilized Rwandan soldiers

40. In 2013, M23 has enlisted demobilized Rwandan soldiers in its ranks. FN17 Three former RDF officers, ten former M23 soldiers, and five former M23 officers reported that M23 agents recruit demobilized soldiers in Rwanda. Since February, the Group interviewed three demobilized Rwandan soldiers who reported that RDF officers sympathetic to M23 had recruited them. According to three former RDF officers, an M23 collaborator, and a M23 current member, RDF officers sympathetic to M23 have facilitated M23's recruitment inside Rwanda by asking senior demobilized officers at the district level to work with local chiefs to enlist demobilized RDF soldiers for M23. Former RDF officers, an M23 cadre, and a former M23 officer told the Group that M23 recruited both former RDF and former FDLR soldiers in Musanze and Rubavu.

41. Since March 2013, former M23 officers reported to the Group that demobilized soldiers joined M23 in discreet groups of 5 to 30 individuals which were also sighted by local leaders from the Chanzu and Kabuhanga areas. Once in M23-held territory, these recruits received military fatigues, ranks, and weapons at the M23 headquarters at Chanzu, and at Rumangabo. FN18 They subsequently received a briefing at Chanzu and were mixed into different brigades. Former and current M23 cadres told the Group that demobilized soldiers usually performed specialized functions such as the operation of heavy weapons.

42. Demobilized Rwandan soldiers have been killed on M23 frontlines in the DRC. The Group obtained the identities and addresses of seven families residing in the northern Rwandan villages of Bigogwe and Mukamira, whose sons fought in the ranks of M23 as demobilized soldiers and died during the fighting between Makenga and Ntaganda.

43. Since the beginning of its current mandate, the Group has interviewed one active RDF soldier who was arrested in the DRC at the end of 2012. However, since the fall of Goma in November 2012, the Group has not documented any instances of full RDF units support to M23. FN19

kuwa mstaarabu, kama nimatusi tukianza humu labda mods wakuokoe, halafu huwezi kutenganisha genge la kihuni la m 23 na rwanda hata kidogo wanapata support ya moja kwa moja kutoka kwa dikteta kagame kwa vile wote ni watusi. Kagame alipeleka batallion mbili za jeshi mpakani na DRC ili kuwanusuru M 23 na kipigo hata hivyo hawakufua dafu
 
Ndugu zanguni hasa Watanzania,

Mimi ni mtanzania ninafanya biashara zangu huku DRC Goma kwa muda mrefu. Ninaishi hapa GOMA na nimekuwa nikisafiri kwenda sehemu mbalimbali ndani ya DRC.

Nimekuwa nikifuatilia mijadala kuhusu mgogoro wa M23 na serikali ya DRC, nimegundua watu wengi hawapo informed on what is going on.

Sasa kwa wale wenye swali au chochote wanachotaka kujua kuhusu mgogoro huu, mapigano yanayoendelea, na ushiriki na mapokeo ya WaKongo kuhusu JWTZ, mnaweza kuniuliza.

Nipo hapa kwa karibu miaka kumi na mbili sasa, bila sahaka nina kitu kipya ambacho huenda ninaweza kuwahabarisha.

Kaka FLASH HIDER, nakupa pongezi kwa elimu unayotupa ambayo wengi tulikua hatuijui:-
nakuomba yafuatayo:-
1. Tafadhali usikatishwe tamaa na baadhi ya wachangiaji, watu tunatofautiana sana, ila nina hakika asilimia kubwa wamefaidika na elimu unayotupatia, hili jukwaa baadhi matusi na kukatisha watu tamaa ndio sera zao
2.Ikiwezekana, tuwekee picha zinazoonyesha madhara ya vita, ili kwa wale wanaoshabikia vita watambue kuwa amani ndio kila kitu katika maendeleo ya nchi
3. Jitahidi kutotoa contacts zako, [email au PM]
Mungu akubariki sana
 
Sasa kama mukamasimba ni mnafiki tena hutaki kusikia ninacho kuambia basi tupatie jibu wewe,ninacho kuambia nikwambia nikwamba kinacho tendeka congo ni genocide dhidi ya watusi na rwanda inapinga hayo mauaji na yanafanywa na FDLR kwani ni muendelezo kwa yaliotokea rwanda,kwa mantiki hiyo mtu yeyeyote anaweza ku conclude kwamba rwanda ina support M23 lakini sio to the extent ya kutoa silaha na kupigana vita.

kama ni kweli unalolisema huoni kwamba Rwanda ingetakiwa ishirikiane kikamilifu na UN ili kukomesha genocide ya watusi unayodai kuwepo? Lakini kinyume chake watusi na kagame walikuwa wa kwanza kupinga na kuiomba Tanzania isipeleke askari DRC ili ulimwengu usijue hujuma rwanda wanazoziendeleza ndani ya mipaka ya Taifa huru la jirani. UN ni askari huru wanawahami raia wa DRC dhidi ya maasi kutoka kikundi chochote ni kwanini Rwanda imekikebehi kikosi hiki eti kinaenda DRC kupora na kucheza ndombolo? KAGAME anawalakini mkubwa na ulimwengu ushamshutukia ni lazima ENEO LA MAZIWA MAKUU LIVE TULIVU KWA GHARAMA YEYOTE ILE
 
Kwa hiyo majibu ya serekali ya Kigali ndiyo sahihi !.

Bwana HIDER kuhusu report of expert sijui kama uliona majibu kwa hiyo report yaliyotolewa na serikali ya rwanda kila shitaka lilipewa jibu lake ndio wakati ule nchi za nje zilisimamisha misaada,lakini baada ya kugundua kua hapakua ukweli ndani yake hivi waliachia misaada kwa rwanda,nafikiri hayo majibu pia yako kwa google sikumbuki link.
 
FLASH HIDER!

Wafaransa wanafanya nini huko eastern DRC? je ni kweli wana lisaidia jeshi la DRC ( FARDC) au wanatafuta sababu ya kuivamia Rwanda?
ndani ya jeshi la MONUSCO ni kwanini wanao uwawa ni wanajeshi wa tanzania tuu (tena maafisa) mbona wanajeshi toka nchi nyingine hawauwawi?
 
kuwa mstaarabu, kama nimatusi tukianza humu labda mods wakuokoe, halafu huwezi kutenganisha genge la kihuni la m 23 na rwanda hata kidogo wanapata support ya moja kwa moja kutoka kwa dikteta kagame kwa vile wote ni watusi. Kagame alipeleka batallion mbili za jeshi mpakani na DRC ili kuwanusuru M 23 na kipigo hata hivyo hawakufua dafu

Kwa taarifa yako hili tusi ni me copy nusu ya matusi uliyo nitukana na kukurudishia mwenyewe,sio kawaida yangu sorry,kingine wewe uko dar unajinywea tangawizi,jinsi unavyo iongea vita utafikiri ni mchezo wa bao,frontline M23 inatisha mapigo yake waulize jamaa walio goma,kule kuhama ni baada ya kuwaumiza jamaa wa FRDC vibaya hapo kibumba na kiwanja,jamaa wakaja na hasira nyingi M23 ikabidi iwapishe tacticaly sio kushindwa au kupigwa,we subiri mtaujua ukweli lakini mimi sifurahii watu kufa cha muhimu malizeni migogoro kwa amani kwani hakuna binadamu aliyeumbwa ndani ya bullet proof.
 
someni sehemu ya taarifa:

Infiltration of demobilized rwandan soldiers

40. In 2013, m23 has enlisted demobilized rwandan soldiers in its ranks. Fn17 three formerrdf officers, ten former m23 soldiers, and five former m23 officers reported that m23agents recruit demobilized soldiers in rwanda. Since february, the group interviewed threedemobilized rwandan soldiers who reported that rdf officers sympathetic to m23 hadrecruited them. According to three former rdf officers, an m23 collaborator, and a m23current member, rdf officers sympathetic to m23 have facilitated m23's recruitment insiderwanda by asking senior demobilized officers at the district level to work with local chiefs toenlist demobilized rdf soldiers for m23. Former rdf officers, an m23 cadre, and a formerm23 officer told the group that m23 recruited both former rdf and former fdlr soldiersin musanze and rubavu.

41. Since march 2013, former m23 officers reported to the group that demobilized soldiersjoined m23 in discreet groups of 5 to 30 individuals which were also sighted by local leadersfrom the chanzu and kabuhanga areas. Once in m23-held territory, these recruits receivedmilitary fatigues, ranks, and weapons at the m23 headquarters at chanzu, and atrumangabo. Fn18 they subsequently received a briefing at chanzu and were mixed intodifferent brigades. Former and current m23 cadres told the group that demobilized soldiersusually performed specialized functions such as the operation of heavy weapons.

42. Demobilized rwandan soldiers have been killed on m23 frontlines in the drc. Thegroup obtained the identities and addresses of seven families residing in the northernrwandan villages of bigogwe and mukamira, whose sons fought in the ranks of m23 asdemobilized soldiers and died during the fighting between makenga and ntaganda.

43. Since the beginning of its current mandate, the group has interviewed one active rdfsoldier who was arrested in the drc at the end of 2012. However, since the fall of goma innovember 2012, the group has not documented any instances of full rdf units support tom23. Fn19

asante kaka, ubarikiwe
 
kwa taarifa yako hili tusi ni me copy nusu ya matusi uliyo nitukana na kukurudishia mwenyewe,sio kawaida yangu sorry,kingine wewe uko dar unajinywea tangawizi,jinsi unavyo iongea vita utafikiri ni mchezo wa bao,frontline m23 inatisha mapigo yake waulize jamaa walio goma,kule kuhama ni baada ya kuwaumiza jamaa wa frdc vibaya hapo kibumba na kiwanja,jamaa wakaja na hasira nyingi m23 ikabidi iwapishe tacticaly sio kushindwa au kupigwa,we subiri mtaujua ukweli lakini mimi sifurahii watu kufa cha muhimu malizeni migogoro kwa amani kwani hakuna binadamu aliyeumbwa ndani ya bullet proof.

wewe ni msemaji wa m 23? Maana hata maelezo yako msemaji wa m 23 hayajui. Ona aibu, sema ukweli m 23 ni millitary wing ya jeshi la rwanda. kumbuka ulishajihami sana hapa wewe siyo mtusi lakini taratibu ukashindwa kujificha na ukweli ukadhihirika, kama Rwanda siyo millitary wing ya jeshi la rwanda ni kwanini mnafurahia sana wanapoua raia wasiokuwa na hatia huko DRC huku mkiumia FLDR wanavyofanya uhalifu kama huo ndani yA Rwanda?
 
Back
Top Bottom