Uliza swali lolote kuhusu Computer Science/ Engineering

Uliza swali lolote kuhusu Computer Science/ Engineering

Sure, the best way to start is to start.
I suggest you get a basic certificate in Computer Science/IT from then you can by yourself start learning programming.
hasta la vista geekie!!
Ushauri mzuri pia uzi mzuri
 
Kati ya MUST, ATC, IAA na TEKU wapi naweza kusoma vizuri CS na kufanikisha malengo yangu nikiwa na maana wana miundombinu mizuri na mazingira bora ya kujifunzia
 
Ipi tofauti kati ya computer sayansi na computer engineering,?na ipi ipo juu ya nyingine kimalipo nk nk
 
hivi application inatengenezwaje? mfano whatsapp,x,insta,snapchat,tik tok n.k ni nini hutumika kuzitengeneza?
 
Kati ya ST JOSEPH na Unique academy ni wapi naweza kujifunza vizuri CS na nikawa Bora zaidi? Japo unique academy Wana INFORMATION SECURITY
 
Back
Top Bottom