Uliza Swali lolote kuhusu Dodoma (Makao Makuu ya Tanzania)

Uliza Swali lolote kuhusu Dodoma (Makao Makuu ya Tanzania)

Kwa nini dodoma pamepoa daladala mwisho saa mbili na zinaanza kazi saa kumi na moja na nusu.
 
Kwa mtaji wa laki 5 unaweza kulima kilimo gani dodoma na kikakutoa kimaisha?
 
Dom wapi napata wadada-wajasiriamali jioni?
 
Jamaa hajajibu hata moja ,wanajf tumeishia kujibizana wenyewe hii kali!
 
nimetafuna sana totoz za cbe maeneo ya area-A, hawajui kukataa
 
Ni katikati ya Nchi!ili iwe karibu kwa mikoa yote kufikika pia ni sehemu ya kufanya tupande miti kuondoa jangwa,maana tukiwa wengi tupeana mawazo mbadala.
 
Back
Top Bottom