DAN LOKOMOTIVE
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 1,528
- 1,955
Haiwezekani.Naweza kupunguza uzito bila kufanya mazoezi? Na nisiathiri mfumo wa ulaji?
Ndio inawezekana.Naweza kupunguza uzito bila kufanya mazoezi?
Hapo ndio penye mtihani, ni lazima kudhibiti lishe yako.Na nisiathiri mfumo wa ulaji?
Kuna vile vijamaa unakuta kanakula sana, hakafanyi zoezi na wala hata hakanenepi...Ndio inawezekana.
Hapo ndio penye mtihani, ni lazima kudhibiti lishe yako.
Kula vyakula vyenye afya, punguza kiasi cha chakula unachokula, na dhibiti mfumo wako wa ulaji.
Pia muda wa chakula hasa cha jioni/usiku, Hiki chakula yapasswa kiliwe mapema zaidi angalau masaa mawili kabla ya ule muda wako wa kulala.
Kula sana au kula kidogo si kigezo cha mtu kunenepa au kutokunenepa, ingawa ulaji hovyo (yaani vyakula visivyo na lishe) unachangia sana kuongezeka kwa unene.Kuna vile vijamaa unakuta kanakula sana, hakafanyi zoezi na wala hata hakanenepi...
Wengine sasa unaweza kuwa unakula mlo mmoja tu ila kukonda SAHAU..!!!
Kuna vile vijamaa unakuta kanakula sana, hakafanyi zoezi na wala hata hakanenepi...
Wengine sasa unaweza kuwa unakula mlo mmoja tu ila kukonda SAHAU..!!!
shida ni nn hapa?
Naweza kupunguza uzito bila kufanya mazoezi? Na nisiathiri mfumo wa ulaji?
Mkuu unene ni matokeo ya uhifadhi wa chakula kilichmeng'enywa na kufyonzwa kuingia mwilini.Naweza kupunguza uzito bila kufanya mazoezi? Na nisiathiri mfumo wa ulaji?
Mkuu hakuna chakula kinachoweza kupambana na saratani na wala mtu asije kukudanganya hata siku moja kwamba kuna hiko kitu kwasababu zifuatazo.Naomba lishe 5 zenye nguvu ya kupambana na saratani mbalimbali
Hapo nimeelewa. Kwa maneno mengine Cancer ni sawa uasi wa baadhi ya seli kutaka kuchukua mamlaka za umiliki wa mwili kwa namna tofauti na mwili ulivyo zoea.Mkuu hakuna chakula kinachoweza kupambana na saratani na wala mtu asije kukudanganya hata siku moja kwamba kuna hiko kitu kwasababu zifuatazo.
Saratani ni matokeo ya moja kati seli kupata hitilafu katika DNA ambazo hizi hupatikana ndani ya kitovu cha seli. Sasa inapotokea hivi hizi seli zinaanza kuwa na tabia tofauti na kusababisha cancer. Sasa mtu unapokula chakula cha aina yoyote iwe ugali,mboga za majani vinamengenywa mfano vyakula vya protein labda samaki ikimengenywa inabdilishwa inakua molecule ya amino acid kwa hiyo kinachoingia ndani ya mwili ni hiyo amino acid sasa inasafirshwa kupelekwa sehemu inapohitajika na kila aina chakula kinavunjwa na kinanyonywa kama molecule.
Sasa tuseme mtu amepata cancer lishe inayotokana na chakula inapofika huko kwenye seli zilizoathiriwa zinatumiwa kwa matumizi ya kawaida na wala hakiwezi kuzuia seli zilizoharibika wala kuzipa kinga ya aina yoyote ile.Kwahiyo kitatumiwa na hiyo seli ili ikue na pia kumbuka kwamba ili chakula kama kifike kwenye seli maana ni mwili umeruhusu imefika kule kwa hiyo kinachoingia mwilini kama chakula kinatumika kama chakula. Hakuna lishe ya kupambana na saratani
Hapo bado hatujafikia huko ila kuna wanasyansi wanjaribu kutumia dna ya hizi seli za cancer kutengeneza protein ambazo zatasaidia kuepuka utengenezwaji wa seli zenye uasiHapo nimeelewa. Kwa maneno mengine Cancer ni sawa uasi wa baadhi ya seli kutaka kuchukua mamlaka za umiliki wa mwili kwa namna tofauti na mwili ulivyo zoea.
Vipi hatuwezi kuzitumia seli ambazo hazijaasi kushambulia zile zilizo asi?