Uliza swali lolote kuhusu Maisha ya mtaani

Uliza swali lolote kuhusu Maisha ya mtaani

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
23,928
Reaction score
63,499
Karibuni muulize maswali namna gani kwa kijana was umri wa Kuanzia 18s anaweza kuishi mtaani bila kumtegemea mtu na kuweza kulipa bills zake , Kama Kodi ya nyumba au chumba , umeme maji na nk na kuweza kuchoma nyama weekend .

Karibuni ...binafsi Nina 24 yrs ila nimeingia mtaani huu mwaka 7 hivyo nipo na uzoefu wa kutosha karibuni Sana hustler .
 
Kazi gani naweza fanya, kuanzia saa 1 usiku na kuendelea, iwe ya halali ikaniingizia kipato.

Na wapi naweza pata na nikaanza mwezi wa 7 huu.
 
Kazi gani naweza fanya, kuanzia saa 1 usiku na kuendelea, iwe ya halali ikaniingizia kipato.

Na wapi naweza pata na nikaanza mwezi wa 7 huu.
Uzoefu wangu unajikita hapa Dsm Kama hupo dsm

Tembelea viwandani Kuna night shift unweza Fanya as well katika Club kubwa unaweza Fanya Kaz mainly kwenye makasino mkuu .
 
Umenikumbusha yule aliyeleta uzi wa kuulizwa swali lolote juu ya mambo ya baharini, kilichotokea aliukimbia uzi wake kwa hatua ndefu ndefu.
 
Back
Top Bottom