Uliza swali lolote kuhusu wanyamapori wetu na tabia zao utajibiwa

Uliza swali lolote kuhusu wanyamapori wetu na tabia zao utajibiwa

Mamba anaweza kumeza ( kula ) windo lake akiwa chini ya maji?
Alafu nimewai kusikia kuwa mbogo ana mkojo unaowasha yaani akiwa na hasira ata upande juu ya mti atakojoa kwenye mkia wake na anakulushia mkojo je kuna ukweli apo?
 
Kwa mwenye ufahamu, hii inaweza kuwa mbuga gani? Na nyumbu kama hao hasa tabia zake ni zipi?
IMG_20210624_013906_371.jpg
 
Punguza masihara Kijana japo hili ni jukwaa la chitchat

Simba hana ubavu wa kumpiga tiger labda kama unazungumzia makinda ya tiger
Kuna clip you tube ..Tyger na Lion wanafuana Hadi inafika kipindi Wana angaliana tu Yani hiyo clip ukicheki walichakazana balaa na hakuna mshindi.

Kuna seheme tyger anajaribu kupanda maana ni Kama walikuwa kwenye shimo hivi ..
Tyger yupo vizuri kwa sababu yenye anatumia tactics zake kiuwindaaji na Ana mikono mikubwa yenye nguvu.
Ila Simba yeye ni mbishi Sana huwa Ana pigana Hadi mwisho halafu Ana vibao vya nguvu Sana japo siyo mzuri kwenye kuwinda.
Ukicheki hiyo clip wote walichakazana kiasi kwamba wote walilala chini wanabaki wanaangaliana tu ..Simba kaumia huku maeneo ya tumboni, na tiger uso haufai Yani😂😂😂
 
Back
Top Bottom