Uliza swali lolote kuusu hacking and craking (For learning Purpose only)

Uliza swali lolote kuusu hacking and craking (For learning Purpose only)

mshumbusi

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2011
Posts
457
Reaction score
232
mod
please naoma usiitoe hii watu wajifunze na wakijua watajilinda na mambo ya mtandao na technology

wana jukwaa niliandika hii topic mods aliamua kuitoa nafikili hakujua kuwa unapo fahamu utajilinda na utajichunga .
nataka watu wajifunze hacking na cracking na wajue mising ya hacking .

hacking sio kitu kibaya kwani unapo fanya hivyo unaweza toa taadhari kwa campuni ,taasisi juu ya wikness ya system zao mf ...system za pesa hapa kwetu tanznia zipo weak hivyo watu wakijifunza wakajua watatoa ushauli juuya hao wanao watumiaji

angalizo
hacking and cracking are criminal please hack ethical

niulize swalilolote kuusu
(1) kuingilia mawasiliano ya simu na message

(2) kuingia kwenye server kama admin

(3) kuhack password yoyote dunian eg facebook,gmail,hotmail,jamiiforum etc

(4) kutumia software kama cain and abel,keylogger, na nyingne nyingi

(5) kuingilia (vpn) yoyote dunia

(6)kuingilia WI-FI yoyote na kupata network ya bureee

narudia tena hii ni kwa elimu tu sitahusika kwa uharifu wowote ule mtu akiufanya karbuni niulize maswal
 
sasa hiyo elimu unategema watu wataenda kiuhack kama si kwa uhalifu... tutaishia kuinvestgate mambo ya jabu tu any way ni mtazamo wangu
 
Huyu jamaa nahisi hazijatimia, hata kwenye jukwaa la science and gadget pia katupia huu uzi then kapotea.
 
Back
Top Bottom