Dr. Zaganza
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 1,414
- 2,181
Habari wakuu.
Vipi mnaendelea na majukumu ya kuendesha miradi yenu.
Nikiwa nina miaka kumi sasa ndani ya ushauri wa biashara hasa jinsi ya kuanzisha, kuendeleza, kubadili na kuipa mwelekeo mpya na kubwa matumizi ya software kwa ofisi au biashara yeyote. Napenda ntumie muda wangu wa ziada kuwashauri wengine juu ya maeneo hayo.
Pia kuna soft ware ya Accounting toka south africa inaitwa sage pastel evolution, ina uwezo mkubwa ikiwemo:
-kuandaa receipt zenye logo na jina la kampuni
-kuandaa bajeti na kuimonotor weekly au monthly
-kucalculate depreciation and asset management
-kupanga top ten ya best customers na supliers
-kuhamishia kazi toka excell kuja kwenye system na kinyume chake.
Kwa huduma ya software au ushauri wa biashara piga
Simu:0713-039875