Uliza vijiwe vyote vya boda hawakuhusika na maandamano ya wahuni

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
39,468
Reaction score
31,952
Ukiwaulizia wanabodaboda wengi wa vijiwe vyetu maarufu hawakushiriki maandamano na waliendelea kutoa huduma ya usafiri.
hii ni ishara ya mamluki kutoka nje ya Tanzania kuletwa kushiriki uvunjifu wa amani.
 
wakuu wa Uhamiaji wakamatwe na kufunguliwa mashitaka ya kuhujumu nchi kwa kuruhusu maelfu ya mamluki kuingia kote nchini na kusababisha maandamano
 
Kum.a wewe....wote waliouawawa ni raia wa nje, hivi vilio mitaan kwny miji ya watu kufiwa na kupotelewa na watu wao ni raia toka nje kum.anyok.o wewe huyu bibi yenu hatoboi 5 yrs ataondolewa tn muda si mrefu mseng.erema wewe.
 
Ni kweli kwenye maandamano hakukuwa na boda wengi, hiyo kweli kabisa.

Kwani umeona wapi wamesema boda ndo walishiriki maandamano?

Na waliokufa wengi hawakuwa hata kwenye maandamano kwa taarifa yako!

Mtaani kwetu kuna misiba 3:

1. Mmama alishuka kituo cha daladala akiwa anarejea home. Ile anashuka tu kwenye bajaji, akala shaba.​
2. Boda aliyeenda kupeleka abiria, hakurudi kwake toka tarehe 30.​
3. Mchoma mahindi stand. Hakuwa na hili wale lile, akapitiwa na shaba!​

Hao wote hawakuwa kwenye maandamano!
 
Ukiwaulizia wanabodaboda wengi wa vijiwe vyetu maarufu hawakushiriki maandamano na waliendelea kutoa huduma ya usafiri.
hii ni ishara ya mamluki kutoka nje ya Tanzania kuletwa kushiriki uvunjifu wa amani.
Propaganda mfu, hakuna anayenunua
 
Kum.a wewe....wote waliouawawa ni raia wa nje, hivi vilio mitaan kwny miji ya watu kufiwa na kupotelewa na watu wao ni raia toka nje kum.anyok.o wewe huyu bibi yenu hatoboi 5 yrs ataondolewa tn muda si mrefu mseng.erema wewe.
Naunga mkono hoja
 
Ila kimara imefanyiwa unyama wa kutisha nadhani hata aliyekuwa hajui kulenga alijifunzia pale,😭😭
 
Bodaboda Wana IQ kubwa kuliko diaspora wetu wanatumika vibaya
 
Back
Top Bottom