Ulizia chochote kuhusu Upatikanaji wa miche ya Matunda, viungo na tiba

Bwana Mpanzi

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2019
Posts
200
Reaction score
195
Habari za jioni wanajamvi,
Kumekuwa na woga au maswali kwa wadau wengi yanayowapa ukakasi kuwekeza katika sekta ya kilimo hasa kutokana na wimbi la upatu au kilimo ambacho hakieleweki uelekeo wake.
Kwangu unaweza kuuliza kuhusu miche, wapi inaweza kufanya vizuri kwanini isifanye, namna ya kulima na changamoto zake pia suala la kimasoko na changamoto zake.

Pili unaweza kuagiza miche au kuweka oda kabisa kwa mawasiliano yafuatayo.

Shamba initiatives and agritours
Mtaa wa makanisani karibu na Aquaculture
Morogoro-Tanzania
+255 714 600 575 || 621 600 575
Www.shambainitiatives.com
Na katika mitandao ya kijamii ni:
Shamba initiatives


Tatu shughuli ya kutembelea mashamba na kushauri au kufundisha vikundi vya kijamii kuhusu kilimo au masuala ya mazingira na utunzaji wake pia.

Miche yetu ni bei rafiki na kokote tunatuma hata wale wa Nje ya nchi kwa kufuata kanuni za nchi husika za sheria za masuala ya mimea na udhibiti wa Visumbufu mazao.
Karibuni sana sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…