Ulokole bila akili ni wehu bin wendawazimu

KING MIDAS

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2010
Posts
8,589
Reaction score
16,936
ULOKOLE UKIUNDESHA Kwa hisia tu

Unageuka kichaa ama chizi anayejua anavaa nguo nzuri na kwenda kwenye jengo fulani kukutana na wenzake.

YAANI paka anaweza pita nyumbani kwako,kisha akakutizama wewe
Kwa kukukodolea macho tu,

Na wewe kwa upumbavu wako unatangaza mfungo hapo nyumbani siku 7, Yaani unasumbua watoto kwenye lishe kisa ujinga wa HOFU,na WOGA wako,

MJUSI anaweza kuanguka na kufia karibu na vyombo, utawaalika wajinga wenzio mnaotishwa na hofu ya mauti, ukidhani ni watumishi waje kupiga kelele hapo ndani,,,,ukidhani ni ""NI MAOMBI YA VITA""
Pasipo kua na ufahamu huyo ni kiumbe tu alikuwa anajitafutia insects

UTAMKUTA mwanamke kisha olewa na ana watoto tayari, Ghafla analipukwa na transformer ndani ya ubongo, anakimbia familia yake

Anasema BWANA ameniambia huyo sio mume wangu, amesema atanipa wa kufanana naye toka nyumbani mwake....

Mpuuzi mkubwa wewe,

Siku hio inarekebishwa unajikuta umegaragazwa na kijiji cha watu mnaoitana wapendwa....!!

Heshimu mume yako, hio haikuwa bahati mbaya

Kusudi linatengenezwa na Kutaka kwako, kunia kwako pamoja na kutenda kwako...

Kwani kabla hujaolewa naye hukuwa na hivi vitu vitatu.?

Kama hukua navyo basi ulikuwa roboti linaloendeshwa.!

MLOKOLE
Unakopa hurejeshi unasema bwana atafungua madirisha

Madirisha gani wewe? Nenda kafagie hata mabanda ya ng'ombe ulipe deni la watu.

Huo muda unaoshinda hapo kanisani huzalishi kitu.

UKIWA maskini

Unawehuka unaona kila kitu kiko against na wewe. Hakuna watu waongo kama maskini

Hakuna watu wanaongoza kumlaumu MUNGU kama maskini. Hakuna watu wanaongoza kusengenyana kama wanaoitana wapendwa.

Mikutano, na shemasi wanafanyia majumbani kwako leo, kesho habari utazikuta za jinsi unavyoishi.
Maskini ni mwizi.

Maskini ni dhalimu.

Maskini ni mchawi kabisa ndani ya fikra zake.

TOFAUTI
Ya maskini na kukosa hela

Masikini ni mtu mwenye tatizo katika mfumo wa fikira na akili

Kukosa hela ni kitendo cha wakati fulani tu.

HITIMISHO
Ukiamua kuwa mlokole anza kwanza kujenga msingi mzuri ndani ya fikra zako
Ili baadae usije ukaona kila mtu ni adui yako,

Ahsante
 
Unaandika mambo usiyo yajua boss. Yesu Kristo ni zaidi ya akili za mwanadamu. Ukimwamini anakusaidia jambo lolote ni Imani tu.

Kuna muda mwanadamu anatumia akili zake zote, maarifa yake yote, ujuzi wake wote, ujanja wake wote, mbinu zake zote na harakati zake zote lakini anafeli.

Ukifika hatua hiyo sasa ndio mwisho. Unachohitaji hapo ni kumtafuta aliye umba hii dunia ndio mwenye ujuzi usio na mwisho ndio mwenye akili zisizo na mwisho, ndio mwenye maarifa yasio na mwisho. Ukisha mwamini tu basi ile hekima ya Mungu inakuja kwako ndio mwanzo wa kuanza kufanikiwa katika mambo yako.

Kama ulikua hujui imani ndio mlango wa sita wa fahamu. Wote walio fanikiwa wamepitia mlango huo.
Waache walokole wamwabudu Mungu, atawasaidia kwa muda wake.

Soma hiki kifungu:
2 Wakorintho 5:13
Kwa maana ikiwa tumechanganyikiwa, ni kwa ajili ya Mungu; na ikiwa tuna akili zetu timamu, ni kwa ajili yenu.
 
Unaandika mambo usiyo yajua boss. Yesu Kristo ni zaidi akili za mwanadamu. Ukimwamini anakusaidia jambo lolote ni Imani tu.

Kuna muda mwanadamu anatomia akili zake zote, maarifa yake yote, ujuzi wake wote, ujanja wake wote, mbinu zake zote na harakati zake zote lakini anafeli.

Ukifika hatua hiyo sasa ndio mwisho unachohitaji hapo ni kumtafuta aliye umba hii dunia ndio mwenye ujuzi usio na mwisho ndio mwenye akili zisizo na mwisho, ndio mwenye maarifa yasio na mwisho.
Kama ulikua hujui imani ndio mlango wa sita wa fahamu. Wote walio fanikiwa wamepitia mlango huo.
Waache walokole wamwabudu Mungu, atawasaidia kwa muda wake.

Soma hiki kifungu:
2 Wakorintho 5:13
Kwa maana ikiwa tumechanganyikiwa, ni kwa ajili ya Mungu; na ikiwa tuna akili zetu timamu, ni kwa ajili yenu.
Kwanini mchanganyikiwe?
 
Watu wanajivisha mabomu kujitoa kafara... Watu wanarusha mawe kumpiga shetani...
 
Unaandika mambo usiyo yajua boss. Yesu Kristo ni zaidi ya akili za mwanadamu. Ukimwamini anakusaidia jambo lolote ni Imani tu.

Kuna muda mwanadamu anatumia akili zake zote, maarifa yake yote, ujuzi wake wote, ujanja wake wote, mbinu zake zote na harakati zake zote lakini anafeli.

Ukifika hatua hiyo sasa ndio mwisho. Unachohitaji hapo ni kumtafuta aliye umba hii dunia ndio mwenye ujuzi usio na mwisho ndio mwenye akili zisizo na mwisho, ndio mwenye maarifa yasio na mwisho. Ukisha mwamini tu basi ile hekima ya Mungu inakuja kwako ndio mwanzo wa kuanza kufanikiwa katika mambo yako.

Kama ulikua hujui imani ndio mlango wa sita wa fahamu. Wote walio fanikiwa wamepitia mlango huo.
Waache walokole wamwabudu Mungu, atawasaidia kwa muda wake.

Soma hiki kifungu:
2 Wakorintho 5:13
Kwa maana ikiwa tumechanganyikiwa, ni kwa ajili ya Mungu; na ikiwa tuna akili zetu timamu, ni kwa ajili yenu.
Wewe ndiye ambaye hujui unachokiandika. Hapo hajamtaja Yesu, amewataja walokole. Ambao wengi wao ni watu waliojitia ukichaa kwa hofu za kijinga wakiamini kuwa huko ndio kumuabudu Mungu. Yote aliyoyataja na zaidi yanafanyika in the name of kuabudu Mungu aliye kweli. Mungu hatutii ujinga, wala hatupi moyo wa uoga maana iko damu yake inenayo mema sio ionayo ubaya kila wakati, kila mahali
 
Well said
 
ULOKOLE UKIUNDESHA Kwa hisia tu

Unageuka kichaa ama chizi anayejua anavaa nguo nzuri na kwenda kwenye jengo fulani kukutana na wenzake.

YAANI paka anaweza pita nyumbani kwako,kisha akakutizama wewe
Kwa kukukodolea macho tu,

Na wewe kwa upumbavu wako unatangaza mfungo hapo nyumbani siku 7, Yaani unasumbua watoto kwenye lishe kisa ujinga wa HOFU,na WOGA wako,

MJUSI anaweza kuanguka na kufia karibu na vyombo, utawaalika wajinga wenzio mnaotishwa na hofu ya mauti, ukidhani ni watumishi waje kupiga kelele hapo ndani,,,,ukidhani ni ""NI MAOMBI YA VITA""
Pasipo kua na ufahamu huyo ni kiumbe tu alikuwa anajitafutia insects

UTAMKUTA mwanamke kisha olewa na ana watoto tayari, Ghafla analipukwa na transformer ndani ya ubongo, anakimbia familia yake

Anasema BWANA ameniambia huyo sio mume wangu, amesema atanipa wa kufanana naye toka nyumbani mwake....

Mpuuzi mkubwa wewe,

Siku hio inarekebishwa unajikuta umegaragazwa na kijiji cha watu mnaoitana wapendwa....!!

Heshimu mume yako, hio haikuwa bahati mbaya

Kusudi linatengenezwa na Kutaka kwako, kunia kwako pamoja na kutenda kwako...

Kwani kabla hujaolewa naye hukuwa na hivi vitu vitatu.?

Kama hukua navyo basi ulikuwa roboti linaloendeshwa.!

MLOKOLE
Unakopa hurejeshi unasema bwana atafungua madirisha

Madirisha gani wewe? Nenda kafagie hata mabanda ya ng'ombe ulipe deni la watu.

Huo muda unaoshinda hapo kanisani huzalishi kitu.

UKIWA maskini

Unawehuka unaona kila kitu kiko against na wewe. Hakuna watu waongo kama maskini

Hakuna watu wanaongoza kumlaumu MUNGU kama maskini. Hakuna watu wanaongoza kusengenyana kama wanaoitana wapendwa.

Mikutano, na shemasi wanafanyia majumbani kwako leo, kesho habari utazikuta za jinsi unavyoishi.
Maskini ni mwizi.

Maskini ni dhalimu.

Maskini ni mchawi kabisa ndani ya fikra zake.

TOFAUTI
Ya maskini na kukosa hela

Masikini ni mtu mwenye tatizo katika mfumo wa fikira na akili

Kukosa hela ni kitendo cha wakati fulani tu.

HITIMISHO
Ukiamua kuwa mlokole anza kwanza kujenga msingi mzuri ndani ya fikra zako
Ili baadae usije ukaona kila mtu ni adui yako,

Ahsante
Kila mmoja ana haki ya kuamini na kutenda sawasawa na imani yake ilimradi tu havunji sheria.

Tusijipe umuhimu kwenye maish ya watu
 
Unaandika mambo usiyo yajua boss. Yesu Kristo ni zaidi ya akili za mwanadamu. Ukimwamini anakusaidia jambo lolote ni Imani tu.

Kuna muda mwanadamu anatumia akili zake zote, maarifa yake yote, ujuzi wake wote, ujanja wake wote, mbinu zake zote na harakati zake zote lakini anafeli.

Ukifika hatua hiyo sasa ndio mwisho. Unachohitaji hapo ni kumtafuta aliye umba hii dunia ndio mwenye ujuzi usio na mwisho ndio mwenye akili zisizo na mwisho, ndio mwenye maarifa yasio na mwisho. Ukisha mwamini tu basi ile hekima ya Mungu inakuja kwako ndio mwanzo wa kuanza kufanikiwa katika mambo yako.

Kama ulikua hujui imani ndio mlango wa sita wa fahamu. Wote walio fanikiwa wamepitia mlango huo.
Waache walokole wamwabudu Mungu, atawasaidia kwa muda wake.

Soma hiki kifungu:
2 Wakorintho 5:13
Kwa maana ikiwa tumechanganyikiwa, ni kwa ajili ya Mungu; na ikiwa tuna akili zetu timamu, ni kwa ajili yenu.

mtumishi ubarikiwe sana! Huyo mleta Uzi anahitaji maombi. Anauchukia wokovu kiasi cha kujinajisi moyo wake kwa kuubebesha chuki isiyomsadia.

kwanza hakuna kitu kinachoitwa "ulokole". kuna WOKOVU!

ameongea upuuzi mwingi sana!

JESUS IS LORD&SAVIOR
 
Wewe ndiye ambaye hujui unachokiandika. Hapo hajamtaja Yesu, amewataja walokole. Ambao wengi wao ni watu waliojitia ukichaa kwa hofu za kijinga wakiamini kuwa huko ndio kumuabudu Mungu. Yote aliyoyataja na zaidi yanafanyika in the name of kuabudu Mungu aliye kweli. Mungu hatutii ujinga, wala hatupi moyo wa uoga maana iko damu yake inenayo mema sio ionayo ubaya kila wakati, kila mahali

wewe ni mlokole?
 
Ulichokiandika kinaonekana kama kina ukweli,japokuwa wachawi,wenye mapepo na watumishi wa shetani wanawachukia sana walokole. Aliyeokoka kweli hawezi kuwa mmoja wapo wa wale uliowataja.
Kuna tofauti ya mtu aliyeokolewa na Bwana Yesu na mtu anayewaigiza waliookoka.
 
ULOKOLE UKIUNDESHA Kwa hisia tu

Unageuka kichaa ama chizi anayejua anavaa nguo nzuri na kwenda kwenye jengo fulani kukutana na wenzake.

YAANI paka anaweza pita nyumbani kwako,kisha akakutizama wewe
Kwa kukukodolea macho tu,

Na wewe kwa upumbavu wako unatangaza mfungo hapo nyumbani siku 7, Yaani unasumbua watoto kwenye lishe kisa ujinga wa HOFU,na WOGA wako,

MJUSI anaweza kuanguka na kufia karibu na vyombo, utawaalika wajinga wenzio mnaotishwa na hofu ya mauti, ukidhani ni watumishi waje kupiga kelele hapo ndani,,,,ukidhani ni ""NI MAOMBI YA VITA""
Pasipo kua na ufahamu huyo ni kiumbe tu alikuwa anajitafutia insects

UTAMKUTA mwanamke kisha olewa na ana watoto tayari, Ghafla analipukwa na transformer ndani ya ubongo, anakimbia familia yake

Anasema BWANA ameniambia huyo sio mume wangu, amesema atanipa wa kufanana naye toka nyumbani mwake....

Mpuuzi mkubwa wewe,

Siku hio inarekebishwa unajikuta umegaragazwa na kijiji cha watu mnaoitana wapendwa....!!

Heshimu mume yako, hio haikuwa bahati mbaya

Kusudi linatengenezwa na Kutaka kwako, kunia kwako pamoja na kutenda kwako...

Kwani kabla hujaolewa naye hukuwa na hivi vitu vitatu.?

Kama hukua navyo basi ulikuwa roboti linaloendeshwa.!

MLOKOLE
Unakopa hurejeshi unasema bwana atafungua madirisha

Madirisha gani wewe? Nenda kafagie hata mabanda ya ng'ombe ulipe deni la watu.

Huo muda unaoshinda hapo kanisani huzalishi kitu.

UKIWA maskini

Unawehuka unaona kila kitu kiko against na wewe. Hakuna watu waongo kama maskini

Hakuna watu wanaongoza kumlaumu MUNGU kama maskini. Hakuna watu wanaongoza kusengenyana kama wanaoitana wapendwa.

Mikutano, na shemasi wanafanyia majumbani kwako leo, kesho habari utazikuta za jinsi unavyoishi.
Maskini ni mwizi.

Maskini ni dhalimu.

Maskini ni mchawi kabisa ndani ya fikra zake.

TOFAUTI
Ya maskini na kukosa hela

Masikini ni mtu mwenye tatizo katika mfumo wa fikira na akili

Kukosa hela ni kitendo cha wakati fulani tu.

HITIMISHO
Ukiamua kuwa mlokole anza kwanza kujenga msingi mzuri ndani ya fikra zako
Ili baadae usije ukaona kila mtu ni adui yako,

Ahsante
Mwanangu dini zote ni wehu mtupu. Awe mlokole, muislam, mujahidina, mrc mlutheri nk naona aina fulani ya wehu hasa ikizingatiwa kuwa dini ni imani siyo welewa wala ushahidi.
 
Bro acha kufananisha wehu, wendawazimu na watu wa hovyo!
Kuwa mlokole ni kuwa zombie.
Ili uwe mlokole ni uwe maskini wa akili, mwili na imani.

“Religion is excellent stuff for keeping common people quiet. Religion is what keeps the poor from murdering the rich.”
― Napoleon Bonaparte

"Dini ni kitu bora kwa kuweka watu wa kawaida kimya. Dini ndiyo inayomzuia maskini asiwaue tajiri.”
- Napoleon Bonaparte
 
mtumishi ubarikiwe sana! Huyo mleta Uzi anahitaji maombi. Anauchukia wokovu kiasi cha kujinajisi moyo wake kwa kuubebesha chuki isiyomsadia.

kwanza hakuna kitu kinachoitwa "ulokole". kuna WOKOVU!

ameongea upuuzi mwingi sana!

JESUS IS LORD&SAVIOR
Siuchukii wokovu, nachukia kuzitumia akili kwenye wokovu. Unaambiwa upeleke kucha na nywele za sehemu za siri kanisani kwenye kisima, is this biblical?
 
Hao ni waganga wa kienyeji, achana nao. Njoo KWA Yesu UOKOLEWE. Tulioko kwa Yesu tuna akili njema maana tunaongozwa na Roho wa Mungu, hatuna hayo uyasemayo.

YESU NI BWANA&MWOKOZI
 
Back
Top Bottom