Tetesi: Ulokole wa Mike Prince ulivyomwokoa Trump na kumpa ushindi

shige2

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2016
Posts
8,106
Reaction score
3,966
Kuna tetesi kwamba VIDEO hii ya makamu wa rais wa Marekani Mike Pence akizungumuzia kuhusu imani yake ndio iliyogusa wamarekani wengi na kumsaidia Trump katika ushindi wake na hivyo kuchaguliwa kuwa Rais wa 45 wa Marekani.
Je Viongozi wetu wanaweza kujifunza jambo katika hili?
Maana wengi hawajitabulishi rasmi ni WAPI hasa imani zao zimesimamia WAKIOGOPA kukosa KURA hivyo.Wanazunguka kila DINI!
 
Attachments

kuna watu walikwenda kabisa kanisani na wakajitambulisha madhehebu yao,na wasema muda huo ulikua zamu yao lakini waliambulia patupu,
 
Kujitambulisha ni jambo jingine. Na kuwa na msimamo THABITI wa imani yako nalo ni lingine.
Viongozi wetu utawakuta leo ni Mkristo, kesho kavaa Kanzu anaomba Msikitini.
Just confusion.
Kama umeitazama vizuri video hii Mike Pence anaitetea imani yake bila kuogopa kuwaudhi wengine! Msimamo bhana!!
 
Kila jambo jema Mungu lazima aliwekee mkono na akitia tu mkono kila kitu lazima kiwe vile.
 
George Bush alipokuwa analipeleka jeshi la Marekani kwenda kuivamia Iraq, Mlokole Mashuhuri Marekani Billy Graham ndie aliyembariki.
Vita vya Iraq ambavyo vimeleta maafa mengi sana sana katika nchi hiyo na kuiletea aibu kubwa sana Marekani na Uingereza.
Wakati huo huo huyo Mlokokole analibariki Jeshi la Marekani.
Hapa Afrika, tulikuwa na Shujaa wa Haki za Binaadamu, Bwana Nelaon Mandela alikuwa anajitayarisha kwenda Iraq na kujianika (Human Shield) kuzuia uvamizi wa haramu huo.
Billy Graham au Nelson Mandela, leo ni nani tunaweza kusema kuwa alikuwa sawa?
Tunakosea sana, tena sana wakati tunashindwa kuwa na vipaji vya kujua ni zipi Nguvu za Shetani na zipi ni Nguvu za Mungu.
Tuwacheni hizI imani za kupiga ramli, kupiga bao, kutabiriana vifo au ushindi. Sheikh Yahya marehemu ana wafuasi wengi sana.
 
Walokole wanalazimisha kutembelea nyota ya trump

Walokole sio watu wa mchezo mchezo
Tehetehe
 
Kujitambulisha ni jambo jingine. Na kuwa na msimamo THABITI wa imani yako nalo ni lingine.
Viongozi wetu utawakuta leo ni Mkristo, kesho kavaa Kanzu anaomba Msikitini.
Just confusion.
Kama umeitazama vizuri video hii Mike Pence anaitetea imani yake bila kuogopa kuwaudhi wengine! Msimamo bhana!!
kwani ukivaa kanzu ndio umemtoroka yesu?halafu imani ipo moyoni sio mpaka utoe video kuelezea imani yako
 
George Bush alipokuwa analipeleka jeshi la Marekani kwenda kuivamia Iraq, Mlokole Mashuhuri Marekani Billy Graham ndie aliyembariki.
Vita vya Iraq ambavyo vimeleta maafa mengi sana sana katika nchi hiyo na kuiletea aibu kubwa sana Marekani na Uingereza.
Wakati huo huo huyo Mlokokole analibariki Jeshi la Marekani.
Hapa Afrika, tulikuwa na Shujaa wa Haki za Binaadamu, Bwana Nelaon Mandela alikuwa anajitayarisha kwenda Iraq na kujianika (Human Shield) kuzuia uvamizi wa haramu huo.
Billy Graham au Nelson Mandela, leo ni nani tunaweza kusema kuwa alikuwa sawa?
Tunakosea sana, tena sana wakati tunashindwa kuwa na vipaji vya kujua ni zipi Nguvu za Shetani na zipi ni Nguvu za Mungu.
Tuwacheni hizI imani za kupiga ramli, kupiga bao, kutabiriana vifo au ushindi. Sheikh Yahya marehemu ana wafuasi wengi sana.
Mkuu umeongea vizuri ila hueleweki. Je unaweza kueleza katika njia iliyo rahisi tukuelewe. Ulikuwa unasema nini hasa?
 
kwani ukivaa kanzu ndio umemtoroka yesu?halafu imani ipo moyoni sio mpaka utoe video kuelezea imani yako
kwani ukivaa kanzu ndio umemtoroka yesu?halafu imani ipo moyoni sio mpaka utoe video kuelezea imani yako[/QUOTE

Usemavyo ni kweli. Imani ya mtu IKO MOYONI mwake.
Lakini pia katika imani ya KIKRISTO kiongozi wao Yesu aliwaarai wafuasi wake akiwaambia.
"USIWASHE TAA yako na kuiweka chini ya MEZA/UVUNGUNI bali IWEKE juu IONEKANE"
Tena akawaambia
"MJI ulio JUU ya MLIMA HAUFICHIKI"

Mike Pence alitoa Video kwa ajili ya KAMPENI. Maana Trump hakuwa ANAPENDWA kutokana na semi zake tata na ASINGEPITA bila MIKE kuwaambia WALOKOLE mimi ni mmoja wenu NIMEOKOKA nampenda Yesu.

Unajua si viongozi wote wasiasa WAKRISTO in particular wanaweza kutaja JINA YESU hadharani! Wako radhi wataje MUNGU lakini ikifika YESU anakata kona hawawi wazi!
That is my point
 
Rose Migiro alikulazimika kuwa Asha migiro ili apate shavu wakati wa Jk
 
MWENYE ENZI MUNGU NI MKUU SANA
 
MAULANA MOLA WETU RHABUKA tuongoze milele yote. ..AMEN RA
 
Wengi mmegeuka kuwa wachambuzi wa uchaguzi wa USA huku hamjui lolote.

Kama Pence alipendwa na kupigiwa kura sababu ya hiyo video basi Trump angeshinda popular vote but Trump kashindwa popular vote na kupewa urais kwa electoral college.

Pence ni mkatoliki kweli na alikua governor wa Indiana prior to that, Indiana jimbo linalofahamika kwa ukatoliki wake na wakatoliki wengi, misimamo mikali against gays, anti abortion, pro guns nk.
 
Imetulia sana hii. Sasa mashoga wasahau kwenda kufungishwa ndoa Ikulu kama enzi za Obama. Mungu ibariki Marekani.
 
Obama na sera zao za Democrats ni mbovu sana. Ni ahueni wameshindwa uchaguzi. Mashoga wanaandamana sana ila Trump na Republican hawakubali upuuzi huo!
 
Back
Top Bottom