Tetesi: Ulokole wa Mike Prince ulivyomwokoa Trump na kumpa ushindi

Tetesi: Ulokole wa Mike Prince ulivyomwokoa Trump na kumpa ushindi

Wengi mmegeuka kuwa wachambuzi wa uchaguzi wa USA huku hamjui lolote.

Kama Pence alipendwa na kupigiwa kura sababu ya hiyo video basi Trump angeshinda popular vote but Trump kashindwa popular vote na kupewa urais kwa electoral college.

Pence ni mkatoliki kweli na alikua governor wa Indiana prior to that, Indiana jimbo linalofahamika kwa ukatoliki wake na wakatoliki wengi, misimamo mikali against gays, anti abortion, pro guns nk.

Mkuu ninazungumuzia kitu ninachokijua! Mike Pence WAS/alikuwa Mkatoliki na akatoka na kuwasikitishasana ndugu na wazazi wake lakini aliamua.

SI UKWELI unayoyasema kuhusu Indiana.

Wakatoliki wengi wako East Coast, Rhodes island, New Jersey, Massachuset, New York nk. wako asilimia 25% pekee.
Kuhusu POPULAR vote
alizopata Hillary ni 200,0000 pekee na ukizigawanya ni 100,000 peke yake ndio zilizokuwa zaidi.

Ukumbuke Hillary Clinton alikuwa anakuwa Bankrolled na LGBT miongoni mwa wapinzani wengine wa Trump. Hivyo popular vote hiyo ni kidogo sana and does not count.

Wamarekani na katiba yao ya Electoral college ndio inayokubalika
. Wamejaribu mara 70 kutaka kuugeuza mfumo huo imekuwa ni vigumu. Huo ndio ukweli wa mambo!
 
Back
Top Bottom