kuna watu walikwenda kabisa kanisani na wakajitambulisha madhehebu yao,na wasema muda huo ulikua zamu yao lakini waliambulia patupu,Kuna tetesi kwamba VIDEO hii ya makamu wa rais wa Marekani Mike Pence akizungumuzia kuhusu imani yake ndio iliyogusa wamarekani wengi na kumsaidia Trump katika ushindi wake na hivyo kuchaguliwa kuwa Rais wa 45 wa Marekani.
Je Viongozi wetu wanaweza kujifunza jambo katika hili?
Maana wengi hawajitabulishi rasmi ni WAPI hasa imani zao zimesimamia WAKIOGOPA kukosa KURA hivyo.Wanazunguka kila DINI!
kuna watu walikwenda kabisa kanisani na wakajitambulisha madhehebu yao,na wasema muda huo ulikua zamu yao lakini waliambulia patupu,
Kujitambulisha ni jambo jingine. Na kuwa na msimamo THABITI wa imani yako nalo ni lingine.kuna watu walikwenda kabisa kanisani na wakajitambulisha madhehebu yao,na wasema muda huo ulikua zamu yao lakini waliambulia patupu,
kwani ukivaa kanzu ndio umemtoroka yesu?halafu imani ipo moyoni sio mpaka utoe video kuelezea imani yakoKujitambulisha ni jambo jingine. Na kuwa na msimamo THABITI wa imani yako nalo ni lingine.
Viongozi wetu utawakuta leo ni Mkristo, kesho kavaa Kanzu anaomba Msikitini.
Just confusion.
Kama umeitazama vizuri video hii Mike Pence anaitetea imani yake bila kuogopa kuwaudhi wengine! Msimamo bhana!!
Mkuu umeongea vizuri ila hueleweki. Je unaweza kueleza katika njia iliyo rahisi tukuelewe. Ulikuwa unasema nini hasa?George Bush alipokuwa analipeleka jeshi la Marekani kwenda kuivamia Iraq, Mlokole Mashuhuri Marekani Billy Graham ndie aliyembariki.
Vita vya Iraq ambavyo vimeleta maafa mengi sana sana katika nchi hiyo na kuiletea aibu kubwa sana Marekani na Uingereza.
Wakati huo huo huyo Mlokokole analibariki Jeshi la Marekani.
Hapa Afrika, tulikuwa na Shujaa wa Haki za Binaadamu, Bwana Nelaon Mandela alikuwa anajitayarisha kwenda Iraq na kujianika (Human Shield) kuzuia uvamizi wa haramu huo.
Billy Graham au Nelson Mandela, leo ni nani tunaweza kusema kuwa alikuwa sawa?
Tunakosea sana, tena sana wakati tunashindwa kuwa na vipaji vya kujua ni zipi Nguvu za Shetani na zipi ni Nguvu za Mungu.
Tuwacheni hizI imani za kupiga ramli, kupiga bao, kutabiriana vifo au ushindi. Sheikh Yahya marehemu ana wafuasi wengi sana.
kwani ukivaa kanzu ndio umemtoroka yesu?halafu imani ipo moyoni sio mpaka utoe video kuelezea imani yako
kwani ukivaa kanzu ndio umemtoroka yesu?halafu imani ipo moyoni sio mpaka utoe video kuelezea imani yako[/QUOTE
Usemavyo ni kweli. Imani ya mtu IKO MOYONI mwake.
Lakini pia katika imani ya KIKRISTO kiongozi wao Yesu aliwaarai wafuasi wake akiwaambia.
"USIWASHE TAA yako na kuiweka chini ya MEZA/UVUNGUNI bali IWEKE juu IONEKANE"
Tena akawaambia
"MJI ulio JUU ya MLIMA HAUFICHIKI"
Mike Pence alitoa Video kwa ajili ya KAMPENI. Maana Trump hakuwa ANAPENDWA kutokana na semi zake tata na ASINGEPITA bila MIKE kuwaambia WALOKOLE mimi ni mmoja wenu NIMEOKOKA nampenda Yesu.
Unajua si viongozi wote wasiasa WAKRISTO in particular wanaweza kutaja JINA YESU hadharani! Wako radhi wataje MUNGU lakini ikifika YESU anakata kona hawawi wazi!
That is my point
Imetulia sana hii. Sasa mashoga wasahau kwenda kufungishwa ndoa Ikulu kama enzi za Obama. Mungu ibariki Marekani.