shalet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 3,430
- 3,547
you cant withdraw money believ me kama unaweza toa hela nimeambie kwa njia gani onyesha na proof hapa.Bitco
Bitcoin 3 kwa website gani? Unajua hii imeanza lini? Ni beta hii soma vzr
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
you cant withdraw money believ me kama unaweza toa hela nimeambie kwa njia gani onyesha na proof hapa.Bitco
Bitcoin 3 kwa website gani? Unajua hii imeanza lini? Ni beta hii soma vzr
Indeed iyo ni invitation link, huwez kuja bila iyoIla naona kama una commission mtu akijiunga kupitia ww
Forex Nina uhakika wa kuirudisha iyo pesa niliyoiandika, well indeed risk IPO ila Ku lose all no, not meUkinambia kwa forex ntakubali na vile vile sio account management,cause pia it's risk you can lose all the capital
Nimekuelewa mkuu,na sijakataa ninezungumzia risk..Forex Nina uhakika wa kuirudisha iyo pesa niliyoiandika, well indeed risk IPO ila Ku lose all no, not me
Naona ina referal code yakoIndeed iyo ni invitation link, huwez kuja bila iyo
Nimekuelewa mkuu,na sijakataa ninezungumzia risk..
Okay what's your trading strategy??
Duh!!sawa mkuu..me nimeuliza kutaka kujua tu,kazi njemaSijawahi onyesha mbinu yangu ya Ku trade, but ukiwa interested utatoa shuhuda mm Ku double your money or more
OK Na trade hukuDuh!!sawa mkuu..me nimeuliza kutaka kujua tu,kazi njema
Sawa mzee and hongera,am also a trader..cheersOK Na trade huku
View attachment 917278
Sawa mzee and hongera,am also a trader..cheers
Okay okay nice niceNice to meet you Mr, ngoja nikuonyeshe some proof screenshot
Okay okay nice nice
Kwa hiyo inafanana na zile biashara za forever living ?Ila naona kama una commission mtu akijiunga kupitia ww
Hahaha imenichekesha iyo message yako, but you are not wrong and not true eitherKwa hiyo inafanana na zile biashara za forever living ?
Kama ni kweli bitcoin kuna site za kufanya transactions ila sio kitu rahisi na ni riskKweli you have a point there kuna jama angu ajiunga 2013 baada ya kuuza gari lake kawekeza $10,000 kapewa offer zao na bonus sasa jana alikua anatukovince to join hiyo Bitcoin akatuambia yeye kwasasa ana Bitcoin 180,000 na kila Bitcoin kwasasa ni zaidi ya €3600 kwahiyo tukaona ana kama €3m....sawa na ma billioni ya shilling za Tz lakini badp tunaka nae hapa tunapigika pamoja hawezi kutowa hata €1m sasa hiyo ni biashara gani.
[emoji16][emoji16][emoji16]JINSI YA KUPATA $30 NO DEPOSIT BONUS YA TEMPLER.
[TAFADHALI SOMA TERMS AND CONDITIONS: ZIMEUNGANISHWA]
huenda ushatumia demo lakini uko na tatizo la mtaji... Au wengine tumeunguza akaunti, jinsi ya kuanza tena ni ngumu, hasa linapokuja suala la mtaji....
ANGALIZO:
Bonus hii ni kwa wateja wapya tu, kama ulishakuwa na akaunti ya Templer na ukaiwekea pesa, hautoweza kuipata, labda ufungue akaunt tofauti.
HATUA ZA KUFUATA:
1. Fungua akaunti mpya hapa:
https://secure.templerfx.com/login/sign_up/162585
2. Verify email, namba ya simu (ni bora iwe voda, kwa ajili ya kutoa faida na kuendesha akaunti) na utambulisho wako.
3. Nenda MENU > OPEN ACCOUNT > chagua LIVE UNIVERSALFX > ok
4. Nenda Menu > Bonus > chagua akaunti yako ya universalFX, WEKA REDEEM CODE:
NDB30JN42017
Then submit.
5. Utapokea $30 katika akaunti uliyoifungua, mara nyingi within an hour.
6. Kama huna MT4 ,download hapa:
MetaTrader 4 – Applications Android sur Google Play
Start Trading!!
Jisajili hapa upate bonus kirahisi
https://secure.templerfx.com/login/sign_up/162585
Ukihitaji msaada wowote, nicheck inbox
+255769095171
Ndugu wewe unatumia strategy gani aise?Okay okay nice nice
JINSI YA KUPATA $30 NO DEPOSIT BONUS YA TEMPLER.