Habarini za jioni wana jf. Nina moja la kitalaam, ambalo mm limenishinda.
Siku tatu zilizopita mke wangu alifanyiwa kipimo cha ultrasound. Majibu haya kunilizisha kwa umri wa mimba uliopatikana hyo juzi. Leo amefanya tena hicho kipimo. Cha kushangaza cha leo kimezidi wiki mbili kipimo cha juzi. Yaani ie juz wiki 15, leo wiki 17.
Je mashine hzi za kuchunguza umri wa mimba na magonjwa mengne kina usahh kiasi gan??? Mwenye ufahamu anijuze tafadhali.
Nb sitohitaji matusi kwa wale wasikuwa na busara bora ukae kimyaa watu wazima tujadili hili swala.