Ultrasound hutoa majibu sahihi umri wa mimba??

Ultrasound hutoa majibu sahihi umri wa mimba??

tan-1

Senior Member
Joined
Jan 2, 2018
Posts
100
Reaction score
81
Habarini za jioni wana jf. Nina moja la kitalaam, ambalo mm limenishinda.

Siku tatu zilizopita mke wangu alifanyiwa kipimo cha ultrasound. Majibu haya kunilizisha kwa umri wa mimba uliopatikana hyo juzi. Leo amefanya tena hicho kipimo. Cha kushangaza cha leo kimezidi wiki mbili kipimo cha juzi. Yaani ie juz wiki 15, leo wiki 17.

Je mashine hzi za kuchunguza umri wa mimba na magonjwa mengne kina usahh kiasi gan??? Mwenye ufahamu anijuze tafadhali.

Nb sitohitaji matusi kwa wale wasikuwa na busara bora ukae kimyaa watu wazima tujadili hili swala.
 
Ultrasound dating huwa ina accuracy kubwa during first and second trimester. Ukifanya third trimester inakuwa si sahihi kwa hiyo usahihi wa umri wa mimba kwa ultrasound hupungua kadiri mimba inavyozidi kukua. Ukifanya ultrasound wiki ya 12 utapata accuracy nzuri kuliko wiki ya 20. Hata hinyo usahihi hutegemea pia ujuzi wa mpiga ultrasound na kifaa chenyewe. Nadhani nimejibu swali
 
Mkuu juzi na leo tofauti yake wiki mbili.
 
Mjipange tu kupokea mtoto. Hayo makadirio yanaweza kutofautiana kwa wiki mbili na si tatizo. Muhimu uzima na afya ya mtoto tumboni.
 
- Juzi kipimo kilionyesha umri wa mimba 17w+5d.
- Leo kimeonyesha 19w+5d

Je usahihi wa machine hizi ni upi?

Majibu yote mawili ni kama false nikipiga mahesabu yangu toka siku ya hatari mpaka leo ni kama 16w+3d.

Msaada wenu jamani.
 
Ultrasound dating huwa ina accuracy kubwa during first and second trimester. Ukifanya third trimester inakuwa si sahihi kwa hiyo usahihi wa umri wa mimba kwa ultrasound hupungua kadiri mimba inavyozidi kukua. Ukifanya ultrasound wiki ya 12 utapata accuracy nzuri kuliko wiki ya 20. Hata hinyo usahihi hutegemea pia ujuzi wa mpiga ultrasound na kifaa chenyewe. Nadhani nimejibu swali
Kwan machine ya ultrasound si inauwezo wa kusoma majibu automatic bila kuongozwa na mtaalam huska?? Au mtaalamu ndo anaielekeza cha kufanya hyo mashine??? Cjakupata vyema sir
 
Kwan machine ya ultrasound si inauwezo wa kusoma majibu automatic bila kuongozwa na mtaalam huska?? Au mtaalamu ndo anaielekeza cha kufanya hyo mashine??? Cjakupata vyema sir
Ndio, kusoma automatic ni sawa lakini mtaalamu ana wajibu wake wakati anascan na kutafuta parameters zinazotakiwa
 
Ni kwanini unafanya ultrasound mara mbili kwa wiki?Au huna sehemu mmoja ya clinic ?

Wanasema ultrasound sio salama sana na haisaidii katika ukuaji wa mtoto. Huwa inafanywa mara kwa mara kama mama ana matatizo ya afya.

Kama mtoto amekaa vizuri na huna shida ya afya, ukishajua jinsia ya mtoto, vuta subira na umsikilize Dr. wako.

Swali lako watakujibu wataalam, japo naelewa kila machine ina calibration zake na haziwezi kuwa sawa.
 
Ukianza kuona wiki za mimba zinapungua *sorry kuna tatizo ....huenda mtt hakui/kadumaa ama kafia tumbon
 
Back
Top Bottom