Mkuu juzi na leo tofauti yake wiki mbili.Ultrasound dating huwa ina accuracy kubwa during first and second trimester. Ukifanya third trimester inakuwa si sahihi kwa hiyo usahihi wa umri wa mimba kwa ultrasound hupungua kadiri mimba inavyozidi kukua. Ukifanya ultrasound wiki ya 12 utapata accuracy nzuri kuliko wiki ya 20. Hata hinyo usahihi hutegemea pia ujuzi wa mpiga ultrasound na kifaa chenyewe. Nadhani nimejibu swali
Asante double R.Mjipange tu kupokea mtoto. Hayo makadirio yanaweza kutofautiana kwa wiki mbili na si tatizo. Muhimu uzima na afya ya mtoto tumboni.
Yeah hiyo si tofauti kubwa sana lakini nimesema ujuzi wa mpiga ultrasound na kifaa chenyewe yaweza determine accuracyMkuu juzi na leo tofauti yake wiki mbili.
Kwan machine ya ultrasound si inauwezo wa kusoma majibu automatic bila kuongozwa na mtaalam huska?? Au mtaalamu ndo anaielekeza cha kufanya hyo mashine??? Cjakupata vyema sirUltrasound dating huwa ina accuracy kubwa during first and second trimester. Ukifanya third trimester inakuwa si sahihi kwa hiyo usahihi wa umri wa mimba kwa ultrasound hupungua kadiri mimba inavyozidi kukua. Ukifanya ultrasound wiki ya 12 utapata accuracy nzuri kuliko wiki ya 20. Hata hinyo usahihi hutegemea pia ujuzi wa mpiga ultrasound na kifaa chenyewe. Nadhani nimejibu swali
Ndio, kusoma automatic ni sawa lakini mtaalamu ana wajibu wake wakati anascan na kutafuta parameters zinazotakiwaKwan machine ya ultrasound si inauwezo wa kusoma majibu automatic bila kuongozwa na mtaalam huska?? Au mtaalamu ndo anaielekeza cha kufanya hyo mashine??? Cjakupata vyema sir