Financial Freedom
JF-Expert Member
- Nov 14, 2016
- 1,246
- 2,299
Hahaahh hajui bwana mjibu tuu swali lakeKwanza unajua hiyo Ultrasound ni nini na ina kazi gani???
Vinasaba vyangu ni Mali yangu, ni marufuku kuwa navyo mtu mwingine
Nao watakuwa navyo vya kwaoMakubwa watoto utakao zaa jee[emoji38][emoji38][emoji38]
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Kwanza unajua hiyo Ultrasound ni nini na ina kazi gani???
Najua ila kwa watu wa experience na ultrasound imekuwa multipurpose nowadayz..Kwanza unajua hiyo Ultrasound ni nini na ina kazi gani???
Sure!! Hapo kuna ka moshi hiv ka majibuInawezekana ila kama utaweza kukumbuka muda ambao ulikutana na mwenza wako.. Yaani sio mara ya mwisho kukutana nae, ila mara zote mlizokutana uwe una kumbuka tarehe...
Ukiwa na hizo kumbukumbu unaweza kujua kama ujauzito ni wako au la!
Ultrasound inaweza kuzalisha picha ya kiumbe kilichopo katika mfuko wa uzazi na daktari anaweza kukuambia kina mda gani, yaani kama ni miezi miwili au mitatu na kadhalika!!!
Sasa kama wewe ukiona mahesabu ya daktari na yako hayaendani basi hapo jua tayari kuna walakini na huo ujauzito..
Ndio mkuu hii mimba naona kama ni mbuzi kwenye gunia vileMmmm utrasound si maendele ya ukuaji mtoto tu ww umebambikwa mtoto nn kapime DNA ndio inatoa majibu ya hilo swala
Kweli..kwa Tz ni process ndefu mpaka DNAUltrasound haifanyi hiyo biashara mkuu. Cha kufanya we pima dna na hii ina process ndefu ikiwa na kesi serious nyuma yake... Wanaume tz sheria inatukandamiza sana wanawake wanatumia fursa hiyo kubambika mimba isiyo yako.
[emoji16][emoji16][emoji16]Vinasaba vyangu ni Mali yangu, ni marufuku kuwa navyo mtu mwingine
Kuna maujanja yanafanyika mpaka inatoa majibu ya miezi na siku husika za ujauzitoInadetermine Mlalo wa mtoto,(longitudinal au transverse), idadi ya watoto ,na maendeleo ya mtoto kwa ujumla ... ila sio Baba wa mtoto
Kuna maujanja yanafanyika mpaka inatoa majibu ya miezi na siku husika za ujauzito