Umaarufu kaaazi kweli kweli...muone Diamond anachofanywa

Ama kweli msaka cha uvunguni ni sharti ainame, kama umaarufu ndio una tafutwa hivi , basi kuna mengi sana chini ya kapeti. Mtizame chibu anachofanywa hapa.....


Na wewe una akili kama za afande sele!
 
Maandalizi ya shooting hayo mapowder, ma make up, ma lipstic lazima baaab
 
kwahiyo unataka kusema kuwa jamaa bila kupigwa huu nusu kaputi anakuwa kama zombie..? acha masihara ya ngumi mkuu.

Mkuu sasa unataka kumfananisha na video za nenda kamwambie akiwa kapauka na mkoti wa kizee na hizi video mipya anayoachia?
 
Ndugu yangu hayo ni mambo ya kawaida sana watu wanapoenda mbele ya kamera. Ikiwa wakati unapigwa passport size tu unapakwa poda itakuja kuwa interview kwenye tv?!
 
hizi ni chuki binafsi tu! mastaa wote wanapigwa make up kwanini umlete huyo tu ??
 
Mleta mada lengo lake ni kuwaletea taarifa na huku labda anadhani huku hatufahamu kule anapokesha kumfatilia msanii anayempenda kinachoendelea wapo kwa kiba kimaandishi tu ila mioyoni mwao ni DIAMOND NDO MANA MUDA MWINGI WAPO HUKO NA KILA ANACHOKIFANYA WANAKIJUA
 
Kwani akifanyiwa hivyo ndo anakuwa maarufu? Ebu jaribu na wewe uone kama utakuwa maarufu. Ndoroooobo. ....
 
Mtoa mada atakua na jasho hebu nikupe hii deodorant uoge halaf upake kwapan
 

Attachments

  • WP_20150621_003.jpg
    248.4 KB · Views: 208
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…