Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ama kweli msaka cha uvunguni ni sharti ainame, kama umaarufu ndio una tafutwa hivi , basi kuna mengi sana chini ya kapeti. Mtizame chibu anachofanywa hapa.....
![]()
Hili Jukwaa lina matahira wengi siku hizi
kwahiyo unataka kusema kuwa jamaa bila kupigwa huu nusu kaputi anakuwa kama zombie..? acha masihara ya ngumi mkuu.
Hili Jukwaa lina matahira wengi siku hizi
nimekupa like zakutoshakwa mujibu wa 'more knowledgeable others, M.K.O".
We inaelekea hata passport size unapiga za Kariakoo manake ungeenda kwa professional ungeona hata pp size tu lazima uogeshwe mipoda.ya kweli hayo..? bora uonekane mshamba lakini sio kufanywa hivi....afu unajiita we kidume?
Kwani akifanyiwa hivyo ndo anakuwa maarufu? Ebu jaribu na wewe uone kama utakuwa maarufu. Ndoroooobo. ....
Mtoa mada atakua na jasho hebu nikupe hii deodorant uoge halaf upake kwapan