Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ama kweli msaka cha uvunguni ni sharti ainame, kama umaarufu ndio una tafutwa hivi , basi kuna mengi sana chini ya kapeti. Mtizame chibu anachofanywa hapa.....
![]()
Kumbe ndio maana wema alikuwa analalamika wanja zake zinaisha haraka kumbe walikuwa wanatumia wawili
Hapo in channel O akifanyiwa make-up kama maandalizi ya interview live. In jambo la kawaida sana kwa wote wanatangaza live ktk TV no lazima USO wako usafishwe ili uonekane mwaaaaaaaa.
Kwa mujibu wa nani?siku zote huwezi kugundua utaahira wa mtu bila ya wewe nawe kuwa na kiwango flani cha utaahira.