Umeishafika mwanza?
nimeshafika muda mrefu. niko na mpwa hapa Vizano Hotel
Achana nae huyo honey asituharibie sherehe
Bilionea unafikia vizano??
Mi nipo bukoba huku wananiambia ally kiba wanamjua kutokana na diamond lakini hawajui hata nyimbo yake moja
Niko hapa kwenye birthday ya mpwa.. Vipi kwani vizano kuna nini? Mbona pako poa tu.?
Ali Kiba hajulikani popote zaidi ya dar.. Bukoba nimepamiss next week nitakuwa hapo
Sio hadhi ya bilionea.Mie mwenyewe fukara lakini hapo sio hadhi yangu
Sherehe gani?
Kumkalisha ndomo na mashabiki wake kama wewe,umepanick hata hueleweki...
Naona mnashangilia mchimba chumvi mwenzenu.. hata siku moja asiekuwa nacho hawezi kumpenda mwenye nacho
Mwanza hakuna hotel ya hadhi yangu hapa niko kwenye party.!!!!!!