Umaarufu wa Ali Kiba mwisho Kibaha

Umaarufu wa Ali Kiba mwisho Kibaha

duanzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2012
Posts
16,428
Reaction score
218
Umaarufu wa Ali Kiba unaishia Kibaha huku mikoani watu hawamjui kabisa.. Mikoani Diamond ni maarufu kupita wanamuziki wote wa Tanzania kwa sasa.. Wivu wa mafanikio ya Diamond unawatesa sana vijana wa Dar.
 
Kiba anatumiwa, japo ni kweli anajua mziki ila anapandishwa kwa nguvu mno.

Nadhani hata Kiba mwenyewe anashangaa kwa promo anayoipata akilinganisha na kazi anazizozifanya.

Binafsi naamini Diamondi amekosana na wadau wa mziki ndio maana wanajaribu kumshusha kwa lazima.
 
Mi nipo bukoba huku wananiambia ally kiba wanamjua kutokana na diamond lakini hawajui hata nyimbo yake moja

Ali Kiba hajulikani popote zaidi ya dar.. Bukoba nimepamiss next week nitakuwa hapo
 
Kumkalisha ndomo na mashabiki wake kama wewe,umepanick hata hueleweki...

Naona mnashangilia mchimba chumvi mwenzenu.. hata siku moja asiekuwa nacho hawezi kumpenda mwenye nacho
 
Back
Top Bottom