Umezaliwa lini?
unaifahamu Nakshi mrembo wewe, cindrela, mac muga?? wengi wameolea hizo nyimbo mkuu!!
ebu weka all time song ya domo, naona kamwambie tu!
Mkuu wewe unaongelea wakati uliopita mimi naongelea wakati uliopo.
Wewe ukisema Kiba alikua mkali kabla ya Domo mimi nitakutajia wakali waliokuepo kabla ya Kiba.
Hivi Kiba alikua na uwezo wa kumfikia Mb dog au Matonya.?
Sikatai kuwa Kiba anauwezo ila hawezi kumfikia Domo kwa propaganda zenu za maslai ya wanyonyaji.
Ukubali ukatae Domo yuko juu kwa sasa, wakati Kiba inambeba historia Domo kazi zake zinaonekana.
Linganisha tuzo alizoshiriki Domo kimataifa na za Kiba, Linganisha wasanii waliofanya kazi na Domo halafu ulinganishe shoo za kimataifa za Domo na Kiba.
Diamond anashushwa kimziki kwa lazima, wakati Kiba anapandishwa kwa lazima ya maslai ya watu.
Hata kama Kiba atapandishwa kwa Lazima hawezi kumfikia Domo, ndio maana kila anachokifanya Kiba saizi ni copy and paste ya Diamond.
Nashauri tena Domo aende kwa Jide akapewe ushauri jinsi ya kuishi na matapeli wa mziki Tanzania.