Umaarufu wa Ali Kiba mwisho Kibaha

Umaarufu wa Ali Kiba mwisho Kibaha

Umaarufu wa Ali Kiba unaishia Kibaha huku mikoani watu hawamjui kabisa.. Mikoani Diamond ni maarufu kupita wanamuziki wote wa Tanzania kwa sasa.. Wivu wa mafanikio ya Diamond unawatesa sana vijana wa Dar.

Mwonyeni huyo Domo, yasije yakampata ya Muumini Mwinjuma. Wanafanana. Wote wanadharau na kiburi. Alipoanguka Mwinjuma ameshindwa kunyanyuka licha ya kujitahidi sana
 
Mi nipo bukoba huku wananiambia ally kiba wanamjua kutokana na diamond lakini hawajui hata nyimbo yake moja

😕😕 wahaya tangu lini wakajua muziki 👉👉👉piteni mbele domo mgambo Wa jiji kakalishwa
 
Kiba anatumiwa, japo ni kweli anajua mziki ila anapandishwa kwa nguvu mno.

Nadhani hata Kiba mwenyewe anashangaa kwa promo anayoipata akilinganisha na kazi anazizozifanya.

Binafsi naamini Diamondi amekosana na wadau wa mziki ndio maana wanajaribu kumshusha kwa lazima.

Umezaliwa lini?

unaifahamu Nakshi mrembo wewe, cindrela, mac muga?? wengi wameolea hizo nyimbo mkuu!!

ebu weka all time song ya domo, naona kamwambie tu!
 
Umezaliwa lini?

unaifahamu Nakshi mrembo wewe, cindrela, mac muga?? wengi wameolea hizo nyimbo mkuu!!

ebu weka all time song ya domo, naona kamwambie tu!

Mkuu wewe unaongelea wakati uliopita mimi naongelea wakati uliopo.

Wewe ukisema Kiba alikua mkali kabla ya Domo mimi nitakutajia wakali waliokuepo kabla ya Kiba.

Hivi Kiba alikua na uwezo wa kumfikia Mb dog au Matonya.?

Sikatai kuwa Kiba anauwezo ila hawezi kumfikia Domo kwa propaganda zenu za maslai ya wanyonyaji.

Ukubali ukatae Domo yuko juu kwa sasa, wakati Kiba inambeba historia Domo kazi zake zinaonekana.

Linganisha tuzo alizoshiriki Domo kimataifa na za Kiba, Linganisha wasanii waliofanya kazi na Domo halafu ulinganishe shoo za kimataifa za Domo na Kiba.

Diamond anashushwa kimziki kwa lazima, wakati Kiba anapandishwa kwa lazima ya maslai ya watu.

Hata kama Kiba atapandishwa kwa Lazima hawezi kumfikia Domo, ndio maana kila anachokifanya Kiba saizi ni copy and paste ya Diamond.

Nashauri tena Domo aende kwa Jide akapewe ushauri jinsi ya kuishi na matapeli wa mziki Tanzania.
 
Umaarufu wa Ali Kiba unaishia Kibaha huku mikoani watu hawamjui kabisa.. Mikoani Diamond ni maarufu kupita wanamuziki wote wa Tanzania kwa sasa.. Wivu wa mafanikio ya Diamond unawatesa sana vijana wa Dar.

Mkoa gani unaozungumzia.??
Mimi nipo mbeya na hakuna msanii anaechukiwa kama diamond na anaependwa kama kiba na izzo b..
 
na vijana wa dar ndio walimpandisha dai leo ndio wana mshusha na walimpenda sana sema kiburi jeuri vimempenda sana apumzike kwa amani
 
Kiukweli wote wanaweza mziki sema ALMASI yupo juu sana kimafanikio.....huyo allykiba ana tuzo gani zaidi ya wimbo wake wa dushelele????
....sema katumia fursa vzur ya umaarufu wa diamond kung'arisha nyota
 
"Watanzania tumeshindwa kutofautisha ushindani na kushushana...mtu anapokuwa juu shindana nae umfikie ili muwe wote juu, sio kumshusha" Gardner G. Habash (2014)

Kweli kabisa...naona wanampandisha mmoja kwa expense ya kumshusha makusudi mwingine
 
Wewe mkulima tu, utakuta wewe mlima magimbi mpitimbi huko.

Wakuu mbona mnagombana tena for nothing?....it doesnt make any sense watu wazima mnatukanana coz ya diamond na ally kiba....duh,wonders shall never end fo'real!
 
"U will be lonely when on top,maafakaz will come against u,no one is invincible...." -Guru Gangstarr
 
Umaarufu wa Ali Kiba unaishia Kibaha huku mikoani watu hawamjui kabisa.. Mikoani Diamond ni maarufu kupita wanamuziki wote wa Tanzania kwa sasa.. Wivu wa mafanikio ya Diamond unawatesa sana vijana wa Dar.

Kichwa cha habari tu nakupa like ...bado najua huku kwenye content utakuwa umewapa maujumbe kuwa Ally kiba mwisho kimara
 
Back
Top Bottom