Umaarufu wangu jf ni UPI?

MTU mwenye akaunti inasoma milioni kumi ni maskini

Njoo piaza navona Rome italy

Yani kwa akili yako ndogo unaamini ukiwa na 10mil wewe ni tajiri?

Kwanza kurundika pesa benki inaashiria umaskinj wako upo mpaka kwenye akili, hamna tajiri anakaa na pesa idle kwenye account!!
 
haha yaan siku jf ilokuwa huru nikaondoka kabisa hat hivyo sikuwa na upenzi nako kabisa kule
Hahahaa, nyumbani ni nyumbani tu bana hua pananoga hivyohivyo pamoja na mapungufu yake hata kama ugenini kuna uhuru zaidi
 
Three deadliest things in life..
  • Desire of Money
  • Desire of Power/Ruling
  • Desire of being Famous
 
huwezi amin mie sijawah kukupenda kabisa yaan sijui kwa nin yaan ilikuwa naona vinyumenyume tu
Palikua ni ukimbizini haswaa na unahisi babisa ni makazi ya muda, wengi pia hawakuwahi hata kwenda ingawa kuna wachache bado wapo kule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…