Umaarufu wangu jf ni UPI?

Mwana jf Mimi unanitambuaje humu jf tiririka kuwa huru

Jf members
Nakufahamu kama mwandishi bosi aliewahi kutokea JF..huwa hujisumbui hata kidogo... Maana thread zako huwa maandishi hayazidi mistari minne tu.

Write like a boss...and read like CEO. [emoji310]
 
Nakufahamu kama mwandishi bosi aliewahi kutokea JF..huwa hujisumbui hata kidogo... Maana thread zako huwa maandishi hayazidi mistari minne tu.

Write like a boss...and read like CEO. [emoji310]
Aisee nimecheka sana comrade
 
Unaonekana kama ni mtu mwenye afya mbovu ya akili kuliko wote humu jukwaani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…