proton pump
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 6,814
- 10,104
hawa ndio wale wanaolima matikiti mtandaoniNilikua Nataka kesho niende kariakoo nikachukue vifungashio sasa mbona….
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hawa ndio wale wanaolima matikiti mtandaoniNilikua Nataka kesho niende kariakoo nikachukue vifungashio sasa mbona….
Nilikua Nataka kesho niende kariakoo nikachukue vifungashio sasa mbona….
Yeah hata viatu( kobazi) uko poa kbsa kwa huku mikoaniUmachinga wa viatu na nguo unaenda, pia hata vyombo kama unaweza
Ndio niniWewe leta mmoja huyo mmoja alete wawili hao wawili walete wanne...[emoji3]
msemo wanaoutumia wale life coaches/motivational speakers kuhamasisha watu kuwa biashara ni nyepesi huwezi kukosa soko, leta mtu mmoja huyo mmoja alete wawili...Ndio nini
hahaha umenikumbusha mkuu utaskia mtu anakwambia "matikiti yanalipa sana kwa siku hukosi elfu50" ukianza unaishia kupata lossKila biashara inalipa ukiwa unasimuliwa
Mkuu uvumilivu tu ila ilikuwaga kazi poa sanaKila biashara inalipa ukiwa unasimuliwa
Inategemea eneo lako huenda alisema ukiwa kibambahahaha umenikumbusha mkuu utaskia mtu anakwambia "matikiti yanalipa sana kwa siku hukosi elfu50" ukianza unaishia kupata loss
No ikiwa mtafanya 10 wakashindwa 3 iko poa tu.msemo wanaoutumia wale life coaches/motivational speakers kuhamasisha watu kuwa biashara ni nyepesi huwezi kukosa soko, leta mtu mmoja huyo mmoja alete wawili...