FORCE NAMBA
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 937
- 327
Na bado Ngoma nae lazima atue Msimbazi bwana kama ukata ni wenu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe kiumbe kweli hamnazo. Kazi kuruka ruka tu. Huna cha maana unachoandika zaidi ya mipasho tuMatusi yako wapi? Hapa tuko mimi na wewe, mbona hujiamini wewe? Hoja ni kuniita ****?
Kataa kama hamkukung'utwa 2-1 mkakimbilia kushitaki. Unashilikilia fuse zangu huku za kwako ziliungua kitambo. Next time andika HUNISUMBUI sio unisumbui.
![]()
Mchezaji anakuwa bado ana mkataba na timu,hivyo anauzwa,hata hapa ni hivyo.hujawahi kusikia fedha a aliyopata simba walivyomuuza Okw na Samata?unaonekana sio mtu wa mpiraMi huwaga sielewi ama!!? Mbona ulaya dau wanapewa timu inayo mmliki mchezaji wakati huku dau anapewa mchezaji??