Matusi yako wapi? Hapa tuko mimi na wewe, mbona hujiamini wewe? Hoja ni kuniita ****?
Kataa kama hamkukung'utwa 2-1 mkakimbilia kushitaki. Unashilikilia fuse zangu huku za kwako ziliungua kitambo. Next time andika HUNISUMBUI sio unisumbui.
Mchezaji anakuwa bado ana mkataba na timu,hivyo anauzwa,hata hapa ni hivyo.hujawahi kusikia fedha a aliyopata simba walivyomuuza Okw na Samata?unaonekana sio mtu wa mpira