Umagufuli bila Magufuli utaendelea?

Who is Magufuli by the way,Na alaaniwe mtu nayemtumainia mwanadamu mwezake,maandiko yasema.
 

Kwani Unyerere, Umwinyi, Umkapa na UKikwete ulienda wapi?


Magufuli ameondoka na upinzani uchwara wa nchi hii
 
Hapana, binafsi sitegemei ingawa kuna Magufuli effects zitakuwepo kwa muda kidogo. Binadamu tumetofautiana na hili huwezi kuigiza! Na ukiigiza ni muda mfupi tu utarudi kwenye nafasi yako.

Mama ata set her good legacy iwapo atasimama kwa miguu yake mwenyewe.
 
Kama atarudisha ile misingi aliyoiacha Kikwete basi huenda akafuata nyayo za Nyerere za kiwa Rais aliyeongoza muda mrefu zaidi (14 years).

View attachment 1737267
mama ameanza pale jpm ,alipoishia,naamini atafuata nyayo zake kwa yale mazuri aliyo yaasisi jpm,na penye mapungufu afanye maboresho.ila ukisema Kama atafanya Kama jk,hapo hapana!!
 
Uko sahihi kabisa.

The mentor is dead but the mentored should replicate the same to softly from here otherwise things gona be business as usual.
 
mama ameanza pale jpm ,alipoishia,naamini atafuata nyayo zake kwa yale mazuri aliyo yaasisi jpm,na penye mapungufu afanye maboresho.ila ukisema Kama atafanya Kama jk,hapo hapana!!
Na alaaniwe amtegemeaye marehemu na alaaniwe kweli kweli.
 
Kila zama na kitabu chake bwashee!
Mwanzisha mada soma comment hii kwa umakini na tafakuri jadidi.
Samia ni Rais kamili, anatakiwa kuongoza akiwa kiongozi kamili, àna utashi kama binadamu na hivyo ana style zake za kuongea, kutenda, kuelekeza, kuomba, kuonya, kukosea, kusahihisha, kukosoa, kukalipia na kisha kuongoza.
Kumshauri aendeshe nchi kwa kutumia kivuli cha mtangulizi wake ni kumkosea heshima. Mbona Magufuli hakuongoza kwa kufuata uKikweteism?
H.E. Samia is not a Snake in a Monkey's shadow.
 
Ngabu hataki kuukubali ukweli kwamba Magufuli hatunaye tena!
 
Uelewa wako na wa wengine kama wewe ni mdogo sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…