Umahiri wa kina dada wa Kenya kwenye michezo

pingli-nywee

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Posts
11,923
Reaction score
13,350
Timu ya Kenya ya mpira wa wavu, Malkia Strikers, ambao ndio mabingwa wa Afrika walifuzu hivi majuzi kuiwakilisha Afrika kule Tokyo, 2020 Olympics. Waliibuka mabingwa na point 11 kwenye mchuano wa kufuzu. Tena walishinda mechi zao zote, 3-0 dhidi ya Nigeria, 3-2 Cameroon, 3-0 Botswana na 3-1 dhidi ya Misri. Timu ya raga7s pia, Kenya Lionesses, ilifuzu mwezi uliopita kuiwakilisha Afrika kule Tokyo, 2020 Olympics. Wao pia walishinda kwenye mechi zao zote hadi fainali, 36-0 dhidi ya Senegal, 49-0 Botswana, 36-0 Ghana na 26-5 dhidi ya Zimbabwe, S.A ikawashinda 15-14. Harambee Starlets(soka) nao wakaibuka mabingwa wa CECAFA baada ya kufunga mabao 24 bila kufungwa bao hata moja! Siku chache kabla ya hiyo walikuwa wamefika fainali kwenye mchuano wa kufuzu kufika kule Tokyo. Ila Zimbabwe wakaibuka washindi 1-0. Hongera zao, bendera ya Kenya izidi kupepea kotekote. [emoji1139]
 
Janet is still playing. Yuko Kenya Pipeline.
She retired from international volleyball though in 2017 and she didn't participate in the qualifiers for the Olympics. She must be the most experienced volleyball player. She played for Malkia strikers since 2004 and she has 5 African Championships titles under her belt. They plan to call her to the technical bench to nature the young talents.
 
Tanzanians are as useless as the tzshs when it comes to sports. Diet yao ya mihogo na chips mayai inaishia kwa umbea tu. 😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…