Umahiri wa "nyundo" kurikia karadinga wawa gumzo mitaani

Yule kweli ni mjeda, japo kifupi vile, ila kilirukia defender kimasta mnoo, hadi niliduwaaa, baadae nilicheka hataree.
Nyundo ana balaa lake mjinii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Attachments

  • Nyundo1.jpg
    83.3 KB · Views: 2
hawa ni wanajeshi kwanini hawakupelekwa kwenye mahakama ya kijeshi?
 
hawa ni wanajeshi kwanini hawakupelekwa kwenye mahakama ya kijeshi?
Hamna haja. Automatically kijeshi wako 'AWOL' ( Absent Without Leave). Hivyo hata wakishinda hiyo kesi yao, kama atathubutu kuja kikosini hasa huyo Private (MT) atatupwa 'lupango' siku mbili tatu kisha kufikishwa Court marshal na judgement itakuwa kufukuzwa jeshi.
 
Yule kweli ni mjeda, japo kifupi vile, ila kilirukia defender kimasta mnoo, hadi niliduwaaa, baadae nilicheka hataree.
Nyundo ana balaa lake mjinii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni mjeda yuko makao Dodoma
Anaitwa Damas Nyundo

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Mwamba, hii kesi inaonekana Police wanafanya mzaha wale ndugu na jamaa zao, hali ya kujiamini hao watu imezidi sana
Wanafanya mzaha kwa kua
Wale wabakaji pale kuna majeshi yote,JW,Polisi na magereza vijana wale ni waajiriwa wa hayo maeneo

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kuna mastaa wawili nawajua washaliwa mtungo enzi hizo afu leo wapooo wanadunda na ni wake za watu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Ujinga wa Watanzania ni wepesi sana kumfanya hata muhaini kuwa star.

Taratibu hawa jamaa wanaanza kusahaulika kuwa ni wabakaji na walawiti kwa kuanza kunotice vituko vyao visivyo na tija.
Hao tuko nao mpaka mwisho.
Yani unafanya ushenzi unapiga na selfie.dharau kwa mamlaka
 
Tekinolojia unaisingizia hapo.

Kinachowanyoosha kunyea debe ni bhangi zao tu ni nani aliyewatuma kurekodi.

Kufotoa na kushea unategemea nini kwa mfano?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…