Umahiri wa "nyundo" kurikia karadinga wawa gumzo mitaani

Umahiri wa "nyundo" kurikia karadinga wawa gumzo mitaani

Yule kweli ni mjeda, japo kifupi vile, ila kilirukia defender kimasta mnoo, hadi niliduwaaa, baadae nilicheka hataree.
Nyundo ana balaa lake mjinii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nyundo1.jpg
 
Attachments

  • Nyundo1.jpg
    Nyundo1.jpg
    83.3 KB · Views: 2
hawa ni wanajeshi kwanini hawakupelekwa kwenye mahakama ya kijeshi?
 
hawa ni wanajeshi kwanini hawakupelekwa kwenye mahakama ya kijeshi?
Hamna haja. Automatically kijeshi wako 'AWOL' ( Absent Without Leave). Hivyo hata wakishinda hiyo kesi yao, kama atathubutu kuja kikosini hasa huyo Private (MT) atatupwa 'lupango' siku mbili tatu kisha kufikishwa Court marshal na judgement itakuwa kufukuzwa jeshi.
 
Yule kweli ni mjeda, japo kifupi vile, ila kilirukia defender kimasta mnoo, hadi niliduwaaa, baadae nilicheka hataree.
Nyundo ana balaa lake mjinii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni mjeda yuko makao Dodoma
Anaitwa Damas Nyundo

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Mwamba, hii kesi inaonekana Police wanafanya mzaha wale ndugu na jamaa zao, hali ya kujiamini hao watu imezidi sana
Wanafanya mzaha kwa kua
Wale wabakaji pale kuna majeshi yote,JW,Polisi na magereza vijana wale ni waajiriwa wa hayo maeneo

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Sasa naamini Maneno ya kaka Ruge.
Wa Kwanza kumuogopa Mungu.Kisha Technology...

Hii michezo ya kupiga madem mtungo zamani ilikuwa kawaida sanaaa....
Nikikumbuka Sec mbali nlizo wahi soma nlishuhudia Sana madem wakiliwa mtungo...lakini kutokana na ufinyu wa Technology maisha yalikuwa Safi sanaaaaa...

Lakini sasa jichanganye upotee mtaani.
Kuna mastaa wawili nawajua washaliwa mtungo enzi hizo afu leo wapooo wanadunda na ni wake za watu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Ujinga wa Watanzania ni wepesi sana kumfanya hata muhaini kuwa star.

Taratibu hawa jamaa wanaanza kusahaulika kuwa ni wabakaji na walawiti kwa kuanza kunotice vituko vyao visivyo na tija.
Hao tuko nao mpaka mwisho.
Yani unafanya ushenzi unapiga na selfie.dharau kwa mamlaka
 
Sasa naamini Maneno ya kaka Ruge.
Wa Kwanza kumuogopa Mungu.Kisha Technology...

Hii michezo ya kupiga madem mtungo zamani ilikuwa kawaida sanaaa....
Nikikumbuka Sec mbali nlizo wahi soma nlishuhudia Sana madem wakiliwa mtungo...lakini kutokana na ufinyu wa Technology maisha yalikuwa Safi sanaaaaa...

Lakini sasa jichanganye upotee mtaani.
Tekinolojia unaisingizia hapo.

Kinachowanyoosha kunyea debe ni bhangi zao tu ni nani aliyewatuma kurekodi.

Kufotoa na kushea unategemea nini kwa mfano?
 
Back
Top Bottom