Deus Michael Ndololo
Member
- Jul 26, 2017
- 25
- 48
SIO KILA MTU ANASTAHILI KUSAIDIWA WENGINE WANATAKA WAKUSHUSHE CHINI.
Karibu msomaji!!
Ivi ulishawai kuona unafanya biashara yako vizuri na inaendelea vizuri kabisa na kukuingizia pesa.
Sasa anakuja MTU mnaefahamiana sana na kwa kuwa mnafahamiana sana basi anakuja kwa lengo LA kukukopa na akijua kwamba huwezi kumtolea nje kwa sababu mnafahamiana sana, na ni kweli unakubali unamuhudumia vizuri anaondoka zake
Lakini baada ya muda mnaanza kusumbuana kwenye malipo ukimpigia simu hapokea,meseji hajibu na hata ukimfuata kwake basi anaanza kukupiga kalenda
Sasa naomba nikwambie ya kwamba sio kila MTU anastahili kusaisiwa na sio kila MTU anaeomba msaada basi anashida HAPANA..
wengine wanakuja kwa lengo LA kukuangamizia biashara yako huku wakitumia urafiki wako na wao ili wapate wanachokitaka,tena watakuja kwa maneno matamu sana na wakikuahidi kukulipa na ukishawakopesha tu basi wanapotea.
Angalia watu wa kuwasaidia mana kuna wengine kweli wanashida na wanastairi msaada ivo kabla ya kumsaidia MTU yeyote yule basi mchunguze kiundani zaidi na anapoongea sana basi na wewe weka umakini zaidi na ukiona roho inagoma basi muepuke haraka USIOGOPE KUSEMA HAPANA ILI UILINDE BIASHARA YAKO.
Usikimbilie kufanya maamuzi ya haraka utajuta.
Imeandikwa na
Coach Deus M.Ndololo
+255 76406 7370
Sent using Jamii Forums mobile app