Umakini unatushushia heshima

Umakini unatushushia heshima

Ishemo

Senior Member
Joined
Mar 6, 2015
Posts
194
Reaction score
127
Nilikuwa naangalia kwenye simu yangu nipate update ya Game ya Simba vs Yanga
Mara naona imeandikwa itachezwa @10:30 AM...imenisikitisha sana! It is a human error but it can also be a negligence
Screenshot_20190216-142705.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Flashscore wanaonesha game itaanza saa 11. Mpaka sasa hawana updates.
 
Umetupia kingereza hapo lakini ajabu hujui kusoma saa. Wakati wewe ndio umekosa umakini. Hiyo row ya kwanza na mwisho ni mechi played na live. Hitu vidogo tu vinakutoa kamasi
 
Back
Top Bottom