Umasikini Kenya: Vyuo vikuu vya Serikali taabani

Umasikini Kenya: Vyuo vikuu vya Serikali taabani

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Posts
26,117
Reaction score
46,617
University students may soon be required to pay higher school fees following a proposal by vice chancellors to the ministry of education. The principal secretary for state department in charge of university education Simon Nabukwesi who appeared before the education committee in parliament says there is an urgent need to salvage public universities from collapse due to the financial breakdown.


=======

MY TAKE: Kale ka wimbo ka GDP mbona siku hizi sikasikii?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Eti kuna mgonjwa eti kafa kisa wahudumu wa afya wamegoma.
 
Tena kafia getini

Kuwa mchawi ni pamoja na kufanya tendo hilo. Licha ya kuwa sina mamlaka ya kumhukumu mtu awaye yote, lkn kwa hili wahudumu wa afya wa kenya wana dhambi kwa Muumba wa Mbingu na Nchi. Kwa nini nasema hivyo, vitabu vinasema kama una uwezo wa kusaidia mtu, lakini kwa uchoyo na ubinafsi wako, unakataa au hutaki kusaidia hilo ni kosa. Watumishi wa afya waliweza kusaidia, lakini kwa sababu zao, wamesimama kando na kushuhudia mwananchi masikini akifa mbele yao. Huu ni ukatili uliopitiliza.

Serikali ya kenya kwa upande mwingine, iache na uongo wa kuwahadaa wananchi, kuwa tuna uchumi mkubwa, lkn wakitaka wanufaike na ukubwa huo wa uchumi, hawaoni kitu. Hapo ndiyo tatizo linaloanzia. Maana kile wanachokiona kwenye makaratasi rasmi ya serikali, ni kusini na mashariki na maisha yao halisi.
 
Back
Top Bottom