jambo Dunia
JF-Expert Member
- Jun 6, 2026
- 292
- 817
Mchochezi kwenye 1&2 ipo siku ntawabless kila mmoja hapa jukwaaniπView attachment 3660825
Si ndio unarelease kwa amaniπJust imagine hapo kwa picture nakojoa kwenye ziwaπ
π₯΄π₯΄π₯΄ kazi ya wapi hii mkuu
Chugaa aloo uku migombaniiπ₯΄π₯΄π₯΄ kazi ya wapi hii mkuu
aisee ππππChugaa aloo uku migombanii
mkuu nipo huku watu wengi hawaamini katika juhudi ili ufanikiwe bali wanaamin katika ushirikina, kutoa kafara n.k ndo ufanikiwe xax mkuu kufanikiwa kwenye mazingira haya ni ngumu sanKama huna imani utasubiri sana ku successed mkuu!
Kweli mkuu, hasa machimboni hatari sana mkuu...mkuu nipo huku watu wengi hawaamini katika juhudi ili ufanikiwe bali wanaamin katika ushirikina, kutoa kafara n.k ndo ufanikiwe xax mkuu kufanikiwa kwenye mazingira haya ni ngumu san
Hapo ndio MsingiMtego uko hapo kwenye ukosefu wa fikra sahihi