Nsanzagee
JF-Expert Member
- Jun 28, 2023
- 2,209
- 4,769
Kwanza, kijana uliyeing'ang'ania CCM kwangu mimi nakuona ndiyo mjinga wa kwanza nchini na unapaswa kuwajibika kwa kila machozi ya walalahoi wote nchini na mateso yote nchi inayoyapitia!
Unakuwa CCM? Kwani wewe ni jini usiye na huruma na watu?
Leo hii nchi inalipishwa mabilioni kwa mabilioni kwa mikataba ya kimangungo. Haikutosha, mikataba hiyo hiyo inaendelea kusainiwa na viongozi wetu, kwa mujibu wa kichwa cha habari tunaitaje hiyo?
Watanzania wengi ni masikini wa kutupwa, unamkuta Mbunge anaongoza jimbo lenye umasikini wa kiwango cha kutisha, huyohuyo anapitisha mikataba ya kuwanyonya masikini anao waongoza. Kwa mjibu wa kichwa cha habari, hiyo tunaiitaje?
Watanzania kila kukicha, kunabuniwa namna ya kutozwa na kurundikiwa tozo na kodi lakini hawaboreshewi mazingira wezeshi ili kuondokana na umasikini, hiyo nayo ni nini?
Tumekuwa na miradi ya REA ilyokuwa ikitembea kwa kasi kubwa kwa miaka ya hivi karibuni na kwa bei ya kipato halisi ya mtanzania yeyote, sasa haipo na ukiitafuta bei yake itakukatisha tamaa, kilichofanyika sasa, mwananchi ameongezewa kodi ya kulipia luku kwa maana ya kodi ya jengo, waziri, ni mahesabu yapi umetumia na ukajiridhisha kuwa hiyo ndiyo inafaa kuwatoza walala hoi?