tinkanyarwele
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 2,016
- 1,946
Mzee sikulenga kutoa matusi ila jamaa kanirukia kwa natusi kisa tu nimetanabaisha watu wajikite kwenye hoja iliyoko mezani na si matusi jamaa kaishia kunishambulia nikamjibu, samahani kwa waungwana wote kwa kutumia lugha isiyo na stara.Toa hoja mzee! Matusi hayasaidii