Umasikini ule ulitutesa sana, Isijirudie tena...

Toa hoja mzee! Matusi hayasaidii
Mzee sikulenga kutoa matusi ila jamaa kanirukia kwa natusi kisa tu nimetanabaisha watu wajikite kwenye hoja iliyoko mezani na si matusi jamaa kaishia kunishambulia nikamjibu, samahani kwa waungwana wote kwa kutumia lugha isiyo na stara.
 
Si ndio hivyo nazungumza ama nini!!! Lazima uimalike kwanza kiuchumi ili uweze kunufaika na sera za hao jamaa zenu, vinginevyo vilio vya madeni yasiyolipika ni sehemu ya maisha yenu.
 
Sera za kimataifa ni kwa ajiri ya manufaa yao waliozitunga,haziwezi kukufaa wewe wakati wote, una factor tofauti.

Kule urusi, china na kolea waliamua tu na ikawezekana. Sasa hivi kila mtu anamheshimu mwenzake.
Ni kweli mkuu ila hawakuamua kuwekeza kwenye siasa Kama jamaa yenu anavyofanya au kukataa watu wao wasisome eti kisa wamepata mimba? Au kukumbatia wizi na ufisadi huku wakijenga uadui na kila mtu anayewaonesha watu wao kinachoendelea,Hapa kwetu ukisema unyonge mafisadi maana yake tutafanya uchaguzi wa rais kabla ya 2020
 
Kuna nchi jirani hawali mihogo bali wanawapa mifugo
Naona na hili linachangia
 
Nakumbuka tulikuwa tunapanga foleni za mawe kabla hawajaanzisha mfumo wa kadi. Familia yenye watoto 4, kila mtoto alipangishwa foleni ili iweze kupata kilo 2 za sukari maana hakuna mtu aliruhusiwa kupata zaidi ya nusu kilo !

Vv
 
Hakuna kisichowezekana, Venezuela wanapitia hali hii sasa..
Mkuu usirahisishe kabisa,hii hali isikie kwa wenzio.Nina rafiki yangu yuko Nicarague,nao wanapitia hali kama hii,Ananiambia bank kwa siku hauruhusiwi kutoa zaidi ya dola 2 za kimarekani tena hapo ni counter kwa teller,Kwa ATM mashine haitoi zaidi ya dola 1 za kimarekani kwa siku.
 
Uchumi haukui kwa wiki moja. Labda kama unazungumzia speed.
Ila wiki moja utoa muelekeo juu ya kufa au kukua kwa uchumi. From 7% to 4% decline ya 1% kila mwaka so 2020 itakuwa ni zero rate.Kinyozi mwanafunzi kapewa saloon kubwa ya Kisasa, itamchukua Miaka 40 kujifunza kunyoa
 
Nchi za wweupe zote awali ugali wa mahindi unadumaza akili,wanakula ngano, Ndizi na Samaki.Thus awajafa akili
Hivi ule unga wa mahindi unaouzwa kule wolment(sorry Kama nimekosea jina) kule Minnesota na Chicago niwakosongea ugali wa kula ng'ombe
 
Ndio maana nakuambia hakuna kisishowezekana mkuu.
Huyu mtu asipodhibitiwa atatufikisha huko.
 
Enzi za chama kushika hatamu,
Uelekeo tuliopo ni kama vile tunarejea kule hatua kwa hatua na baadhi ya Watanzania wanakenua meno, hawajui nchi ilikuwaje. Hawajui kuwa tulisoma magazeti ya Uhuru/Mzalendo na Daily News tu, gazeti 'huru lilikuwa Mfanyakazi pekee, leo magazeti binafisi yanapanangiwa cha kuandika isipokuwa Tanzanite na Jamvi la Habari ambayo yanaruhusiwa kuwatukana wanaoitwa wapinzani mchana kweupe!

Vv

Vv
 
Nchi zote ambazo marais wanaongozwa na EGO huishia kuumiza wananchi wake. Mimi huyu bwana huwa sielewi kinachomfanya avimbie wadau wakubwa huwa ni nini simuelewi, yaani ana ka immaturity fulani hivi ogopeshi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…