Research Solutions TZ
Member
- Jul 11, 2020
- 66
- 145
Recently tumekuwa tukisikia mzazi kamuua au kajeruhi mwanaye kwa kosa fulani. Ustawi wanataka mtoto akinyanyaswa kaaripoti kwao lakini je mtoto atawezaje kuendelea kuishi na mzazi ikiwa alisha mshataki.
Mbali na hilo serikali haina vituo rasmi kwa ajili ya kuwalea watoto wanaonyanyswa na wazazi wao, badala yake wazazi wanyanyasaji wanalazimishwa kuishi na watoto wao. Huu sasa ni umasikini wa taifa.
Kwa hiyo watoto wanakuwa na haja ya kuendelea kuvumilia mateso ili mradi wakue waende kujitegemea kwa kuwa kimsingi hawana pa kukimbilia.
Ieleweke Katika makabrasha ya ustawi wa jamii waliweka wazi kuwa na vituo lakini kimsingi vituo vilivyopo vingi ni vya kanisa ambavyo vinachukua watoto wachache kimsingi.
Mbali na hilo wanawake pia wamekuwa wakinyanyasika majumbani lakini kwa umasikini huwa wanaogopa kuondoka au kuripoti manyanyaso kwa kuwa hatakuwa na pa kwenda, na hata ikitokea mtu kapigwa kazimia na mumewe akaripotiwa na kukamatwa na polisi, ni mwanamke atafanya juhudi za kumtoa mumewe ili waendelee kuishi, wanaita mapenzi naita umasikini wa fikra.
Kwa hali hiyo utaona wazi kuwa wanawake na watoto hubeba manyanyaso mengi kwa kuwa hawana la kufanya au hawana pa kwenda...manyanyaso hayo huelekea vifo. Kimsingi hakuna mtoto anaweza tamani baba yake au mama yake aende jela kwa kuwa kimsingi ataishi kwa shida zaidi mtaani.
Lakini suluhu ipo, nikimaliza kuifanya modelling vizuri nitaweka hapa wazo la kuweza kuwanusuru watoto dhidi ya manyanyaso ya wazazi au walezi.
Hesabu ni maisha yangu. Naendelea kusolve Mathematical Equation