sacrifice 01
New Member
- Mar 22, 2024
- 1
- 5
Isomeke 'unadhalilisha' mkuu najua sie wabantu 'r' na 'l' ni mtihani. Ila umeeleweka. Ila illegal means ni kuchukua risk kubwa sana kwenye kuukwepa ukata ufuta, asante.yaani haina haja ya kuwalaumu watu wanaofanya illegal activities kujipatia pesa as long hawaumizi mtu.
UKizaliwa familia maskini..kufanikiwa kimaisha ni mtihani sana sana
Huna haja ya kujilaumu kupita kias, inasm3kana kuwa uwepo wa pesa sio mpango wa mungu. Ni mpamgo wa binadamu mwenye ubinafsi ndani yakeyaani haina haja ya kuwalaumu watu wanaofanya illegal activities kujipatia pesa as long hawaumizi mtu.
UKizaliwa familia maskini..kufanikiwa kimaisha ni mtihani sana sana
Tokea ujiunge Jf Leo umeongea point kubwa sanaKikubwa mnapumua, mkiambiwa mumuamini mungu hamtaki mnamkimbilia mwamposa.
Huku ni kunikazia sasa, madini yote hayo ambayo huwa natema huyaonagi!Tokea ujiunge Jf Leo umeongea point kubwa sana
Hua inachukua muda sana kuielewa historia ya Pablo Escobaryaani haina haja ya kuwalaumu watu wanaofanya illegal activities kujipatia pesa as long hawaumizi mtu.