Umasikini wa mtu unaanzia kichwani pake. Kama utani nilivyopoteza mtaji wangu wote kizembe

Hii hatua ya kupigika mpk unawaona boda boda na mama ntilie wanadhaman kuliko mimi imeshawahi kunipitia aisee, nilipigika hasa na degree yangu ya ualimu toka pale UDSM, Mungu hamtupi mja wake now ujasiriamali umeninyanyua toka nilipokuwa, now najihisi nina dhamani kuliko
 
Mwalimu neno 'dhamani' siyo sahihi ni 'thamani' ndiyo maana tuna 'dhahabu'
 
Wewe mwalimu tena toka UDSM kwa huu uandishi wako hufai hata kumfundisha chizi atakukataa.
 
Udsm umehitimu mwaka gani ?
 
Kilichopangwa kupotea lazima kitapotea tu, hata kama ungefanya jambo fulani tuseme kununua biashara ama kuendeleza hiyo mishe yako ya Ilala nakwambia pesa lazima ingezima tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…